Zifuatazo ni dalili mbaya sana ambazo zinaonesha ndoa inayoelekea kwenye kifo...

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
...KUFIKIRIA MAISHA KIVYAKO BILA MKE AU MUME KUMUHUSISHA
...MAMBO MABAYA NI MENGI KULIKO MAMBO MAZURI KWENYE NDOA YAKO
...UNAJISIKIA VIGUMU
SANA KUWASILIANA NA MKE AU MUME WAKO
...KILA MMOJA KUKATAA KUHUSIKA NA MATATIZO AU MIGOGORO YA NDOA INAPOJITOKEZA
...KUJIKUTA NI WEWE PEKE YAKO TU UNAHUSIKA KATIKA KUTATUA MIGOGORO AU MATATIZO YA NDOA
...MMOJA AU WOTE KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA
...mnaishi tu kwa sababu ya watoto ndo wamewafanya msiachane
...KUBISHANA AU KUGOMBANA KWA KITU KILEKILE KILA MARA

kwa uchache tu unaweza ukawa na mengi zaidi...ongezea
 
Hakuna hata moja ilishawahi kunitokea;
Nashirikiana na my wife karibia kila kitu (sio kucheat)
 
Ever heard of a guy married for 30 yrs, never had a fight with his wife thoungh they go out for dinner twice a week and vacation twice a year? Here is why: she goes out on saturdays and he goes out for dinner on fridays. She vacations in summer while during winter the hubby vacations in africa.
Big up buddy!
Hakuna hata moja ilishawahi kunitokea;
Nashirikiana na my wife karibia kila kitu (sio kucheat)
 
Uzuri ni kwamba wapo watu wasiiona tabu kuwa ndani ya ndoa zinazokufa.
Inakuwa hivyo kwa sababu kati ya hao wanandoa hakuna anayefahamu dalili hatari za kuua ndoa yao, in other words they are living in ignorance. Wanaona ni ok hakuna shida hata akitokea mshauri nasaha wa ndoa akawadokezea kwamba ndoa yenu ina tatizo hili na lile watabisha na kumtolea nje! (Samahani Lizzy. Nimebadilisha neno lako 'ziliozokufa' kuwa 'zinazokufa' ili kusaidia mchango wangu)

 
Back
Top Bottom