B Bretha Naturals Member Joined May 25, 2018 Posts 61 Reaction score 86 Sep 6, 2019 #1 Hii ni njia ya rahisi sana ya asili ya kuweka mng'ao kwenye nywele zako na kuzifanya zishine pia inachochea ukuaji wa nywele Unachotakiwa kufanya ni kuchemsha majani ya rosemary kwenye maji kiasi na uyaache yalale usiku. Kisha unaongeza apple cider vinegar kwenye hayo maji. Unakuwa umejipatia serum nzuri sana ya nywele Oshea angalau mara 1 kwa wiki
Hii ni njia ya rahisi sana ya asili ya kuweka mng'ao kwenye nywele zako na kuzifanya zishine pia inachochea ukuaji wa nywele Unachotakiwa kufanya ni kuchemsha majani ya rosemary kwenye maji kiasi na uyaache yalale usiku. Kisha unaongeza apple cider vinegar kwenye hayo maji. Unakuwa umejipatia serum nzuri sana ya nywele Oshea angalau mara 1 kwa wiki
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,856 Reaction score 89,755 Sep 6, 2019 #2 Kuna haya mafuta pia ni mazuri sana kwa kung'arisha nywele na wenye nywele kavu ni mazuri sanaaaa
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Sep 6, 2019 #3 Hiyo Njia Ya Kutumia Ubunifu Wa Vitu Asilia Uko Bomba Sana
Mildotty JF-Expert Member Joined Jun 29, 2016 Posts 278 Reaction score 198 Sep 14, 2019 #4 joanah said: Kuna haya mafuta pia ni mazuri sana kwa kung'arisha nywele na wenye nywele kavu ni mazuri sanaaaa View attachment 1199991 Click to expand... Haya mafuta sijawah yaona, hata maduka ya kawaida yapo?
joanah said: Kuna haya mafuta pia ni mazuri sana kwa kung'arisha nywele na wenye nywele kavu ni mazuri sanaaaa View attachment 1199991 Click to expand... Haya mafuta sijawah yaona, hata maduka ya kawaida yapo?
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,856 Reaction score 89,755 Sep 14, 2019 #5 Millie Mhb said: Haya mafuta sijawah yaona, hata maduka ya kawaida yapo? Click to expand... Yapo maduka ya kawaida,aliyeniletea ni wa Dar
Millie Mhb said: Haya mafuta sijawah yaona, hata maduka ya kawaida yapo? Click to expand... Yapo maduka ya kawaida,aliyeniletea ni wa Dar
Mildotty JF-Expert Member Joined Jun 29, 2016 Posts 278 Reaction score 198 Sep 14, 2019 #6 joanah said: Yapo maduka ya kawaida,aliyeniletea ni wa Dar Click to expand... ahaa okee ntayatafuta
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,819 Reaction score 233,246 Sep 14, 2019 #7 joanah said: Kuna haya mafuta pia ni mazuri sana kwa kung'arisha nywele na wenye nywele kavu ni mazuri sanaaaa View attachment 1199991 Click to expand... Yanauzwa Bei gani?
joanah said: Kuna haya mafuta pia ni mazuri sana kwa kung'arisha nywele na wenye nywele kavu ni mazuri sanaaaa View attachment 1199991 Click to expand... Yanauzwa Bei gani?
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,856 Reaction score 89,755 Sep 14, 2019 #8 Saint anne said: Yanauzwa Bei gani? Click to expand... Sina uhakika bei yake my dia manake nililetewa
Saint anne said: Yanauzwa Bei gani? Click to expand... Sina uhakika bei yake my dia manake nililetewa
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,819 Reaction score 233,246 Sep 15, 2019 #9 joanah said: Sina uhakika bei yake my dia manake nililetewa Click to expand... Oh SawA Ngoja Na Mimi niyatafute
joanah said: Sina uhakika bei yake my dia manake nililetewa Click to expand... Oh SawA Ngoja Na Mimi niyatafute
Q Queen Priya Senior Member Joined Jul 15, 2018 Posts 100 Reaction score 97 Sep 15, 2019 #10 Siku hizi viitu vyote vya urembo vipo jikoni kwako achana na kupoteza pesa madukani! Kitunguu+mafuta ya mnyonyo+ mafuta ya chungwa unapata mwenye nzuri sana!
Siku hizi viitu vyote vya urembo vipo jikoni kwako achana na kupoteza pesa madukani! Kitunguu+mafuta ya mnyonyo+ mafuta ya chungwa unapata mwenye nzuri sana!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,239 Reaction score 184,953 Sep 15, 2019 #11 Ngoja waje... Cc: mahondaw
S subram Member Joined Feb 6, 2018 Posts 23 Reaction score 10 Sep 28, 2019 #12 pia kuna mafutaya nyonyo ni mazuri yanakuza nywele, yanazuia kukatika, kua nyeusi na kujaza nywele