Inawahusu wanandoa zaidi;
Mojawapo ya faida na umuhimu wa tendo la ndoa hasa kwa wanandoa ni kujenga afya ya mwili na akili pamoja kudumisha upendo katika ndoa au kwa wanandoa.
Ili tendo hilo liweze kuleta faida hizo zilizitajwa hapo juu, linapaswa kufanyika kwa ustadi mkubwa na kwa wakati muafaka ili kupata utoshelevu (KURIDHISHANA). Hakuna jambo muhimu katika tendo la ndoa kama kuridhishana. Kukosa kumridhisha mwenzi wako kwa hakika ni kujuiweka katika hatari ya kusalitiwa.
Nimesema tendo lifanywe kwa USTADI na kwa WAKATI MUAFAKA.
Kuna nyakati kuu TATU, ambazo ukifanya tendo la ndoa nafasi ya kumridhisha mwenzako na kumuachia kumbukumbu kichwani huwa ni kubwa sana
1) ALFAJIRI - saa 11:00 hadi 12:30.
Hii huitwa morning glory ni wakati mzuri kuliko wowote. Huleta nguvu ya akili na uchangamfu wa mwili siku nzima
2) USIKU wa saa 3:30 hadi 4:30.
Hapa ni wakati mwili unahitaji kupumzika baada ya pilika nyingi. Tendo likifanyika vizuri inakuwa kama massage na baada ya hapo mwili hupumzika vema.
3) MNAPOSAMEHEANA.
Mfano mligombana na baadae mkatengeneza na kuombana msamaha. Hitimisho lake liwe ni tendo la ndoa. Wakati huu hisia huwa juu sana kwa kila mmoja.