Zifahamu kampuni bora za simu Duniani kwa 2020

belionea

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
1,053
Reaction score
923
1: SAMSUNG • Ni kampuni ya vifaa umeme iliyopo Korea Kusini. Wana shika nafasi ya 1 kutokana na ubora wa simu zao kama; Galaxy S20, Galaxy S11, Note 10 n.k.

2: HUAWEI • Hii ni kampuni kutoka China waanzilishi wa teknolojia ya 5G. Wana matoleo MaTaTa ya simu kama; Huawei P30 Pro, Mate X, Mate 20 Pro n.k. Pato lao ni $ 121.71 kwa mwaka

3: APPLE iPHONE • Hii ni kampuni kutoka Marekani ambayo ina mfumo wake wa kipekee wa kuendesha simu zao iOS. Wana simu kama; iPhone 11 Pro, iPhone X, iPhone XR n.k. Pato lao ni $33.3 kwa robo ya mwaka.

4: XIAOMI (MI) • Hii ni kampuni nyingine kutoka China. MI inasimama badala ya Mobile Internet, wamewekeza kwenye simu, Tv, Viatu n.k. Wana simu kama; Xiaomi Mi9, Xiaomi 8 Pro, Mi Mix 3 n.k. Pato ni $ 494 kwa theluthi ya mwaka.

5: OPPO • Hii ni kampuni nyingine kutoka China ilianzishwa mwaka 2016. Ipo pamoja na Vivo, One plus na Realme. Wana simu kama; Oppo A31, F15, A5, A9 n.k.

6: VIVO • Hii ni kampuni nyingine kutoka China ilianzishwa mwaka 2011. 2015 ikaingia kwenye 10 bora kwa Mara ya kwanza. Wana simu kama; Vivo ZIX, V17 Pro, S1 Pro, V 51 n.k. Umesambaza zaidi ya simu million 103.

7: MOTOROLA • Ilianzishwa mwaka 1928 pale Marekani. Mwaka 2007- 2009 iliyumba kiuchumi, 2011 ikaja kivingine. Wana simu kama; RAZR, Mate X, Motorola 24 n.k.

8: LENOVO • Kampuni nyingine ya China inatengeneza simu, komputa na vifaa vingine vya umeme. Pia kwenye simu hawapo nyuma japo walinakili aidia ya iPhone. Wametengeneza kama; Lenovvo Z2 plus, P2, K6 power n.k.

9: LG • Kampuni nyingine ya pili kutoka Korea kusini, LG inasimama kama Life Good's. Wana simu kama LG W10 Alpha, K415 n.k

10: NOKIA • Kampuni ya Nokia inatufungia kumi bora yetu. Ni kampuni kutoka Finland wana simu kama Nokia 2.3, Nokia 110, Nokia 2.2 n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sitaki kuamini..kama SONY haipo kwenye hii list ina maan imeshuka kiasi icho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah nawakubali sana SONY kwa simu wana simu kali sana kwenye kila kitu ila naamini atakuja kukaa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
hawezi tena,game ya simu inahitaji umakini sana,ukizubaa umeliwa kichwa.

angalia mfano shape za simu ni kampuni mbili tu ndio wanaobuni,wengine wanawaiga hao.

wakati tuko kwenye infinity displays samsung akaondoa home button kisha akapunguza bezzle,apple akaondoa home button kisha akaweka notch na kupunguza pia bezzles.
wakati sony hakuwa na home button,alikuwa na nafasi mapema zaidi kufanya walichofanya wenzie baadae,matokeo yake akazubaa,na hata walipokuja kumkumbusha akajifanya haoni.simu ina kioo kidogo halafu sababu ya msingi haipo.

simu iliyokuwa na sound quality viwango ni sony,ila wakataga mayai.badala wangeshikilia hapo kama wenzao samsung waliposhika kwenye vioo,mpaka kukosa mpinzani kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom