Duniahadaa JF-Expert Member Joined Oct 16, 2017 Posts 336 Reaction score 677 Jun 10, 2020 #1 Aina za ubaguzi duniani Ubaguzi ni hali ya mtu au kikundi cha watu kujiona ni bora zaidi na kuwachukulia wengine kama daraja la chini au kutokustahili haki fulani fulani. Kuna aina 4 za ubaguzi duniani kama zinavyofafanuliwa hapa chini: Ubaguzi wa rangi. Mfano ni ule uliopo USA dhidi ya weusi. Ubaguzi wa kikabila. Mfano ni ule uliopo Kenya. Ubaguzi dhidi ya wahamiaji (xenophobia). Mfano ni ule wa Afrika Kusini dhidi ya watu wa mataifa mengine. Ubaguzi wa kiitikadi. Mfano ni ule wa Tanzania ya Magufuli ambapo Rais alitangaza kuwa ole wake mtu ampige mwana CCM. (wengine kupigwa ruksa) UBAGUZI NI UBAGUZI TU HAIJALISHIUMEFANYWA NA NANI.
Aina za ubaguzi duniani Ubaguzi ni hali ya mtu au kikundi cha watu kujiona ni bora zaidi na kuwachukulia wengine kama daraja la chini au kutokustahili haki fulani fulani. Kuna aina 4 za ubaguzi duniani kama zinavyofafanuliwa hapa chini: Ubaguzi wa rangi. Mfano ni ule uliopo USA dhidi ya weusi. Ubaguzi wa kikabila. Mfano ni ule uliopo Kenya. Ubaguzi dhidi ya wahamiaji (xenophobia). Mfano ni ule wa Afrika Kusini dhidi ya watu wa mataifa mengine. Ubaguzi wa kiitikadi. Mfano ni ule wa Tanzania ya Magufuli ambapo Rais alitangaza kuwa ole wake mtu ampige mwana CCM. (wengine kupigwa ruksa) UBAGUZI NI UBAGUZI TU HAIJALISHIUMEFANYWA NA NANI.
Kawe Alumni JF-Expert Member Joined Mar 20, 2019 Posts 8,686 Reaction score 12,016 Jun 10, 2020 #2 Na Mbowe kuongoza Chadema peke yake ni ubaguzi wa nini.
Ghiti Milimo JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 5,156 Reaction score 7,696 Jun 10, 2020 #3 Kawe Alumni said: Na Mbowe kuongoza Chadema peke yake ni ubaguzi wa nini Click to expand... @Bia yetu
Kawe Alumni said: Na Mbowe kuongoza Chadema peke yake ni ubaguzi wa nini Click to expand... @Bia yetu
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 18,070 Reaction score 25,745 Jun 10, 2020 #4 Ubaguzi wa jinsia mfano Saudi Arabia
Duniahadaa JF-Expert Member Joined Oct 16, 2017 Posts 336 Reaction score 677 Jun 10, 2020 Thread starter #5 Tanzania ya Magufuli ina ubaguzi
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 62,743 Reaction score 105,433 Jun 10, 2020 #6 Ubaguzi wa rangi nchini Marekani ni tone tu katika bahari ya ubaguzi
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 62,743 Reaction score 105,433 Jun 10, 2020 #7 Zipo aina zaidi ya nne,kuna ubaguzi wa kipato,dini, jinsia,nchi
Kiwarhoapandenga JF-Expert Member Joined Aug 10, 2019 Posts 2,078 Reaction score 1,817 Jun 10, 2020 #8 Kawe Alumni said: Na Mbowe kuongoza Chadema peke yake ni ubaguzi wa nini Click to expand... Bila kusahau ccm kuongoza miongo toka babu yako azaliwe nao tuuiteje
Kawe Alumni said: Na Mbowe kuongoza Chadema peke yake ni ubaguzi wa nini Click to expand... Bila kusahau ccm kuongoza miongo toka babu yako azaliwe nao tuuiteje
T11 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2017 Posts 5,096 Reaction score 4,578 Jun 11, 2020 #9 Mods wanafuta comments za wanaccm Aibu