Ziara za kushutikiza za Magufuli ziliishia wapi?

mpk

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
3,115
Reaction score
3,865
Nilijua tu kwamba ulikuwa moto wa mabua na nguvu za soda. Jiulize alipoenda Muhimbili mambo gani yalikuwa yanaendelea bandarini? Kama angeenda bandalini mambo gani yangekuwa yanaendelea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere?

Kama angekuwa uwanja wa ndege nini kingeendelea TRA? Kama angekuwa TRA nini kingeendelea Makao makuu ya Jeshi la polisi? nk nk nk. Hatutaki siasa nyepesi, tufuate sheria na tufanye kazi.
 
Anakuja kwako leo usiku au ulitaka akupe taarifa ujipange kwanza....
 
Nchi ina vilaza wengi sana hii.

Kilaza ni yule anayesifia kila kitu bila kuhoji. Ni sawa na wale waliosifia ziara za Mkwere lakini leo wanamsifia JPM kuzifuta
 
Katoa agizo la kushtukiza....hakuna sherehe za uhuru uwanjani...hom kwako fanyeni usafi...au unaishi Kenya hujaskia hilo?
 
Hatuhitaji mtaalam kujua uwezo wako wa kufikiria

Unalo unaandika pum.ba kafanye kazi ukizembea utajiju....

Umaumia roho ulizoea kula vya bure fanya kazi
 
Post ya kijingaaaaa, kutujazia server tu
 
Katoa agizo la kushtukiza....hakuna sherehe za uhuru uwanjani...hom kwako fanyeni usafi...au unaishi Kenya hujaskia hilo?

Siamini kama huwezi kutofautisha ziara na agizo. Nakuhaidi nitarudi hapa kuuliza maagizo kama hayo yameishia wapi
 
Ideally si kila wakati afanye ziara....wakati mwingine ni maagizo sababu naye ana kazi za kiofisi...ikiwa kila siku mguu na njia kazi nyingine atazifanya saa ngapi?
 
Unalo unaandika pum.ba kafanye kazi ukizembea utajiju....

Umaumia roho ulizoea kula vya bure fanya kazi

Siamini kama kuna watu wameajiriwa kutoona ukweli bali wanaojipendekeza kutoona ukweli na ambao nadhani ndiyo hawana kazi
 
Ideally si kila wakati afanye ziara....wakati mwingine ni maagizo sababu naye ana kazi za kiofisi...ikiwa kila siku mguu na njia kazi nyingine atazifanya saa ngapi?

Ndiyo msingi wa hoja yangu
 
Nilijua tu kwamba ulikuwa moto wa mabua na nguvu za soda. Jiulize alipoenda Muhimbili mambo gani yalikuwa yanaendelea bandarini? Kama angeenda bandalini mambo gani yangekuwa yanaendelea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere?

Kama angekuwa uwanja wa ndege nini kingeendelea TRA? Kama angekuwa TRA nini kingeendelea Makao makuu ya Jeshi la polisi? nk nk nk. Hatutaki siasa nyepesi, tufuate sheria na tufanye kazi.

Kwani unahisi hataenda huko? Lazima ataenda tu sasa kagundua kuwa akienda wanazinduka wanafanya kazi lakini akiondoka wanarudia yale yale kaamua abuni mbinu mpya ya kijanja zaidi pengine itaweza kumsaidia.
 
Adui wa Watanzania ni Watanzania wenyewe!

Magufuli ni nguvu ya soda isiyoisha utamu! Tembelea maeneo ya jijini Dar es Salaam siku za kazi mchana uona kama foleni ya magari ni kubwa kama zamani! watu wanatulia maofisni, tuli!
 
Kwani unahisi hataenda huko? Lazima ataenda tu sasa kagundua kuwa akienda wanazinduka wanafanya kazi lakini akiondoka wanarudia yale yale kaamua abuni mbinu mpya ya kijanja zaidi pengine itaweza kumsaidia.

Umeuliza alafu ukajijibu na kupoteza maana ya swali lako
 
Katoa agizo la kushtukiza....hakuna sherehe za uhuru uwanjani...hom kwako fanyeni usafi...au unaishi Kenya hujaskia hilo?

Tarehe 9 ni mbali sana Mbona kipindupindu kitakuwa kimewamaliza watu wengi, usafi ulipaswa uanze leo.
 
Back
Top Bottom