Mwl. Kaijage
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 216
- 214
Ziara mfululizo za ACT-WAZALENDO sasa zimeanza kuwapagaisha Chadema na kuanza kundaa mbinu ovu za kuharibu ziara hizo.Kwani katika ziara hizo kuna makundi ya watu kutoka vyama vya CCM na Chadema wanakwenda kujiunga na ACT-WAZALENDO.
Chadema wameanza kupata hofu ya wanachama wao kukihama chama hicho ambacho kimeanza kupoteza mvuto kwa wananchi.Viongozi na wanachama wa Chadema wameanza kutumiana meseji zenye kuhofia ziara hizo za mikoa kumi zitakazoongozwa na viongozi wa ACT-WAZALENDO TAIFA.