Ziara yangu ya siku 6 nchini Korea Kaskazini: Tanzania hakuna udikteta

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Habari zenu nilikuwa kimya kidogo kutokana na ziara ya siku sita nchini Korea Kaskazini.

Maajabu ni mengi

Baada ya kufika haijarishi visa uliyonayo unapewa karatasi ya kujaza imetafsiriwa kwa kiingereza , inauliza dhumuni lako ndani ya Korea Kaskazini, inaeleza pia sheria za nchi papo hapo.

Unaeleza Korea itanufaika vipi na ujio wako, pia inaeleza endapo ukifanya kosa utakumbana na makosa yapi.

Kuhusu mawasiliano unajaza namba ya simu uliyokuwa unatumia kabla ya ujio korea alafu simu una I surrender airport, kama inaonekana wana wasiwasi na wewe, lakini pia ambao tuliruhusiwa kupita nazo hazikusaidia chochote, maana roaming services zote zimekuwa limited, na huwez piga simu nje ya nchi , mawasiliano yote yako monitored, kuna baadhi ya website hazifanyi kazi kule hata ukienda internet cafe.

Kwa kifupi simu yako inakusaidia kupiga picha tu na kusikiliza muziki, alamu, na kuangalia saa, basi.

Huruhusiwi kununua SIM CARD nje ya utaratibu uliopangwa na serikali, wageni wote wanaruhusiwa kupata SIM card airport tu, na baadhi ya vituo ambavyo vimeruhusiwa, na wanaotoa SIM card ni waajiriwa wa jeshi kwa upande wa mawasiliano, hata hivo hizo line huko huko monitored sana na kujua kila mawasiliano yako.

Wenye passport ya Israeli na USA ama UK mara nyingi wanaonewa na kufungwa bila makosa, hata pale airport wanauliza wenye pass za nchi hizo wakae pembeni.

Au kama recent countries ulizotembelea imo USA au Israel na muhuri upo kwa pass yako unaeleza kwanini ulienda huko na wanachunguza zaidi.

Unaeleza kama uliwahi fanyia kazi shirika lolote la Umoja wa Mataifa kazi.

Ishu nyingine strange, ni lazima mgeni yeyote ndani ya Korea Kaskazini ufuate sheria ya kusindikizwa na wazawa wawili walioajiriwa kuangalia mienendo ya wageni ndani ya Korea Kaskazini, kila safari au matembezi unayofanya na unapoenda lazima uwe na hao wawili.

Lazima uende Kim joh 2 square kutoa salam zako kwa wahenga, na pia uoneshe ishara ya kusikitika kwa mambo ambayo Korea inafanyiwa na Marekani na mataifa ya Magharibi.

Baada ya hapo kila saa 12 kuna dakika 10 za kukaa kimya kila mtaa.

Kwakweli Korea Korea kKorea hatari.

Maisha ya kawaida.
Huruhusiwi kuzungumzia siasa.
Filamu za Magharibi haziruhusiwi kabisa.
Magazeti yanauzwa kwenye metro stations tu.
Njia pekee ya kupata habari ni television ya Taifa na gazeti la Taifa.
Wageni wanaoingia hawaruhusiwi kuleta majarida na publication za nje.
Uruhusiwi kusogelea ukuta unaoigawa Korea Maskazini na Kusini.
Katiba haipewi nguvu sana, neno la mwisho la Rais ndo sheria.
Kwenye saloon asilimia 80 wananyoa style moja.
Kwenye club za usiku miziki inayopigwa inakuwa imeruhusiwa na baraza lao la sanaa na kuna tarehe maalumu ya kwenda club.
Hakuna specific national days, Rais anaweza akatengua hata Christmas.

Bahati nzuri nimetoka salama
 
Habari zenu nilikuwa kimya kidogo kutokana na ziara ya siku sita nchini korea kaskazini ,

Maajabu ni mengi

Baada ya kufika haijarishi visa uliyonayo unapewa karatasi ya kujaza imetafsiriwa kwa kiingereza , inauliza dhumuni lako ndani ya korea kaskazini, inaeleza pia sheria za nchi papo hapo,

Unaeleza korea itanufaika vip na ujio wako, pia inaeleza endapo ukifanya kosa utakumbana na makosa yapi,

Kuhusu mawasiliano unajaza namba ya simu uliyokuwa unatumia kabla ya ujio korea alafu simu una I surrender airport, kama inaonekana wana wasiwasi na wewe, lakin pia ambao tuliruhusiwa kupita nazo hazikusaidia chochote, maana roaming services zote zimekuwa limited, na huwez piga simu nje ya nchi , mawasiliano yote yako monitored,
Kuna baadhi ya website hazifanyi kazi kule hata ukienda internet cafe,

Kwa kifupi simu yako inakusaidia kupiga picha tu na kusikiliza muziki, alamu, na kuangalia saa, basi,

Huruhusiwi kununua SIM CARD nje ya utaratibu uliopangwa na serikali, wageni wote wanaruhusiwa kupata SIM card airport tu, na baadhi ya vituo ambavyo vimeruhusiwa, na wanaotoa SIM card ni waajiriwa wa jeshi kwa upande wa mawasiliano,
Hata hivo hizo line huko huko monitored sana na kujua kila mawasiliano yako,

Wenye passport ya Israeli na USA ama UK mara nyingi wanaonewa na kufungwa bila makosa, hata pale airport wanauliza Wenye pass za nchi hizo wakae pembeni,

Au kama recent countries ulizotembelea imo USA au Israel na muhuri upo kwa pass yako unaeleza kwanini ulienda huko na wanachunguza zaidi,

Unaeleza kama uliwahi fanyia kazi shirika lolote la umoja wa mataifa kazi

Ishu nyingine strange, ni lazima mgeni yeyote ndani ya korea kaskazini ufuate sheria ya kusindikizwa na wazawa wawili walioajiliwa kuangalia mienendo ya wageni ndani ya Korea kaskazini, kila safari au matembezi unayofanya na unapoenda lazima uwe na hao wawili,

Lazima uende Kim joh 2 square kutoa salam zako kwa wahenga, na pia uoneshe ishara ya kusikitika kwa Mambo ambayo korea inafanyiwa na marekani na mataifa ya magharibi,

Baada ya hapo kila saa 12 kuna dakika 10 za kukaa kimya kila mtaa ,

Kwakweli korea korea korea hatari,

Bahati nzuri nimetoka salama,
Ulienda kwa ndoto hivi unaujua umafia wa nchi za magharibi? Unazani wao wajinga huko NK eti!!!
 
Aisee
Screenshot_20180506-152427.jpg
 
Lazima uende Kim joh 2 square kutoa salam zako kwa wahenga, na pia uoneshe ishara ya kusikitika kwa Mambo ambayo korea inafanyiwa na marekani na mataifa ya magharibi, nimeipenda hii
 
Nafikiri watu bado hawajaielewa dhana halisi ya udikteta kwa mapana yake, na wengi wao wanaiperceive generally plus kuendeshwa na upepo wa wanasiasa. Kuna sehemu ukipelekw hata bila kuwahi kusikia kama kuna udikteta ndo utajua sasa this is an absolute dictatorship.
mkuu udekta unazidiana, huo wa NK kuwa mkali zaidi haimaanish sehemu nyngne hakuna
 
nimecheka hizi aya

Back
Top Bottom