Ziara ya WANEC (CCM) Kupitia shirikisho la Taifa yahitimisha kwa mafanikio ya Zanzibar

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
875
960
eeb3a0a2673b2553bdb3fbfa0a549843.jpg

ZIARA YA WANEC (CCM ) KUPITIA
SHIRIKISHO TAIFA YAHITIMISHWA KWA MAFANIKIO MAKUBWA ZANZIBAR.

Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa (WANEC) Kupitia Shirikisho la Wanafunzi Vyuo vya Elimu ya Juuu Tanzania Wamekutana Na Viongozi Wote wa vyuo 13 shirikisho Mjin Zanzibar jana 15/05/2016 ktk Ukumbi wa CCM Mkoa wa mjini na kuweza Kuwapongeza Vijana wa Shirikisho ZANZIBAR kushiriki UCHAGUZI MKUU 25/10/2015

na Uchaguzi wa Marudio 20 March 2016.Kwani Walifanya Kazi kubwa na Nzuri kuhakikisha Serikali ya CCM inaendelea kushika dola.

Wajumbe wa NEC waliwapongeza VIONGOZI WA VYUO SHIRIKISHO ZANZIBAR kuendelea kuwa WAMOJA Waendelee kuisapoti na Kuisemea Serikali yao.

Naye MJUMBE wa NEC TABIA MAULID MWITA amewasihi WANASHIRIKISHO kusoma kwa BIDII kwani KIONGOZI lazima Uwe Mfano kwa Uwaongozao, Kujituma na Kufanya kazi kwa Bidii

.MJUMBE WA NEC MH JOHN LIPESI KAYOMBO aliwasisitiza VIJANA NA VIONGOZI WA SHIRIKISHO VYUONI Lazima wawe WAZALENDO, WAADILIFU,WAAMINIFU,NIDHAMU YA HALI YA JUU ili kufikia malengo yao ndani ya nafasi zao Walizoaminiwa na Wanashirikisho Wenzao kama hutokuwa mwadilifu kwa Hicho kidogo basi hutokuwa Mwadilifu kwa Nafasi kubwa Utakayokabidhiwa

.SWALA NA NIDHAMU NA MAADILI Mh Kayombo Ameendelea Kuwasisitiza Vijana SHIRIKISHO KOTE Nchini Kuwa na Maadili mema, Tuwe Mfano na Tusikubali Kutumika ktk Kuharibu Maadili yetu viongozi wa SHIRIKISHO kwa Nafasi Tulizokabidhiwa.

Msomi lazima uwe Mkweli, Mwenye Maadili, Nidhamu na Heshima kwa wakubwa na Wadogo.TIMIZA wajibu wako kwa Nafasi Ulopewa

.WANEC wa CCM Kupitia SHIRIKISHO Taifa WAMEIPONGEZA SERIKALI YA AWAMU YA TANO YA MH DR JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI kwa Kazi kubwa na Nzuri Ambayo Inafanywa kwa mwendo wa kutumbua Majipu na Kauli ya HAPA KAZI TU.Shirikisho Taifa inchin lipo bega kwa bega Kwa utendajii mzuri wa Rais

SWALA LA KUOMBA MISAADA
kwa wahisani mjumbe wa Nec Ndg . Kayombo John lipesi Amewashauri kama Wasomi Tujitahidi kuwa WABUNIFU kwa KUANDAA MIRADI ili Waweze kujitegemea wenyewe na kuacha kuombaomba, pia amewashauri Wachumi Wote SENETI kaeni Chini na Wasomi Wenzenu Muandae Miradi itakayo Wasaidia kujitegemea ili tusiwe Tegemezi kwa wahisani muda wote .

SWALA LA AJIRA
Mh Mnec Kayombo aliwashauri VIJANA wasome kwa budii ili Wawe na Ufaulu mzuri na kama Nafasi Zikitokea Basi hata mkiomba mnaweza kuingia ktk mchakato wa Ajira

.KUHUSU OFISI YA SENETI ZANZIBAR Mh Mnec Kayombo Alitoa KOMPUTER MOJA ya Kisasa na PRINTER kwa Aliji ya Shirikisho na Kuwasisitiza VIONGOZI kuitumia komputer hiyo ya Shirikisho ktk kazi za shirikisho tu na printer ya kisasa kwa ajili ya kazi za printing, kutuma na kupokea email na kuchapa barua kwa Wakati lakini pia Itasaidia Kupunguza Usumbufu wa kupeleka Barua za ofisi ktk Stationary za Watu binafsi.


MH M/KITI WA SENET ZANZIBAR Ndg KHAMIS alishukuru mnoo na Kuwapongeza WANEC SHIRIKISHO kufika Zanzibar na Kuongea na Viongozi wa Vyuo Shirikisho.Kwani Wamewatia moyo na Kuwaongezea Nguvu na Iman Kubwa Kiuwajibikaji kwa Ujio wao Umekuwa wa Muhimu mkubwa sana kwao na umeongeza Tija kwenye shirikisho Zanzibar
AHSANTEN
Imetolewa na Timu ya Ziara ya WANEC SHIRIKISHO TAIFA
489c882f5ce1a8ace3c1ec2de5bd55b1.jpg
 
Back
Top Bottom