Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 3,119
- 1,430
IGUNGA: UWT TAIFA YAHITIMISHA ZIARA KWA KISHINDO
📌 MHE. HAWA GHASIA ASISITIZA USHINDI KWA CCM HAUEPUKIKI SERIKALI ZA MITAA NA UCHAGUZI MKUU.
📌 MBUNGE NGASSA ASEMA "TUMEPOKEA MAELEKEZO, TUNAYAFANYIA KAZI.
Mjumbe wa Kamati ya Utekekelezaji ya Baraza Kuu la UWT Taifa Mhe. Hawa Ghasia amekamilisha ziara ya kikazi Wilaya ya Igunga huku akisisitiza kuwa ushindi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu hauepukiki kutokana na kazi nzuri ya utekekelezaji wa Ilani ya CCM uliofanyika baada ya Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kutoa Fedha nyingi za miradi ya maendeleo.