Mbekianeno ndio lugha gani?Kwa Mbekianeno hayo machafu "sisi" wewe haupo!. Je wewe umefanyia nini Tanzania?
Ile ndege yao walioitengeneza mpaka leo bado ipo kwenye majaribio.Sasa china si na wao wameanzisha kampuni yao ya ndege C900 model kama ntakua sijakosea? walikuwa waoneshe support kwa home grown company kuliko kununua nje
Ila me nadhani elfu saba itapendeza zaidi
mkuu ndio story ya jikoni hiyo!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] fundi punguza uchochezi[emoji38]
Sasa china si na wao wameanzisha kampuni yao ya ndege C900 model kama ntakua sijakosea? walikuwa waoneshe support kwa home grown company kuliko kununua nje
hahahahhahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] fundi punguza uchochezi[emoji38]
Sio nne ni sita.Alafu sisi tunanunua Bombadia nne tunapigaje kelele sasa!
Ile ndege yao walioitengeneza mpaka leo bado ipo kwenye majaribio.
Itachukua mda kidogo kuja kushindana na akina Airbus na Boeing.
Sio kelele tu, Yowe kabisa...!!!Alafu sisi tunanunua Bombadia nne tunapigaje kelele sasa!
Lakini mchicha uliishia kuwa mchicha tu! Right?[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata mbuyu ulianza kama mchicha
Tatizo sio kuzidisha, tatizo itatamkwaje!? Kwa pesa yetu ya madafuZidisha kwa 2248
Ni sawa na sh tr 478Zidisha kwa 2248
Afu nazo tunabambikwa kama watoto,Alafu sisi tunanunua Bombadia nne tunapigaje kelele sasa!
Mchicha gan miaka 50+ haukui unazidi kudumaa huo, endelea kusubiri meli stand ya mabasi, utaoza umesimama[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata mbuyu ulianza kama mchicha