mansoorsaid
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 1,498
- 286
Rais anatembelea mkoa wa Morogoro, ni mkoa wenye matatizo mengi ambayo yamejificha Kilombero, Ifakara na Mvomero kuna matatizo ya wakulima na wafugaji kuna watu walikuwa wanafyeka misitu kwa ajiri ya kuni na mkaa wakajimilikisha hayo maeneo kama yao na kuna watu wazito wamejimilikisha mapori kwa maelfu ya ekari na mji wa Morogoro una matatizo ya maji yote hayo tunakuomba uyashughulikie tamko lako la hayo matatizo, ndio nafuu kwa wanyonge walio wengi.