Ziara ya Rais Kikwete nchini Vietnam, Oktoba 2014

lebraza

Senior Member
Jan 8, 2013
124
114
Tar 27 October 2014 Rais aliyekuwa madarakani aliwasili nchini Vietnam, hakuna ripoti ya tulichojifunza kutokana na safari hiyo kabla ya kutuma mawaziri wengine wawili?

Kikwete yuko Vietnam

v5.jpg

v6.jpg

v9.jpg

v28.jpg
 
Nadhani ndio maana Rais wao amekuja kukumbushia yale ambayo mh Jk aliyaomba,Tujifunze kutoka kwao na ukizingatia mh JPM Hana mpango wa kupanda boing ilikuwa hakuna namna jamaa aje tu
 
Kikwete hongera sana. Ulitafuta masoko na kuimarisha diplomasia.
 
Tar 27 October 2014 Rais aliyekuwa madarakani aliwasili nchini Vietnam, hakuna ripoti ya tulichojifunza kutokana na safari hiyo kabla ya kutuma mawaziri wengine wawili?

Kikwete yuko Vietnam

v5.jpg

v6.jpg

v9.jpg

v28.jpg
Walisaini mkataba wa HALLOTEL siku hiyo.

Wakaambiwa wafanye chap chap kukamilisha mambo yote, kampuni ifanye kazi kabla mkuu hajaondoka madarakani...that task ilifanyika on time.
 
Back
Top Bottom