Ziara ya Mh Pinda Mbeya, Too little and almost too late!

Ziara ya Mh Pinda Mbeya, Too little and almost too late!

Leta ushahidi wa uongo wako huu
Usiwe mvivu hata wa kufikiri!
Wewe kata tiketi uende sehemu hixo ujionee mwenyewe!
Mida hii ndo mashangingi yanapandisha milima kutoa ahadi wanazojua hawatszitekeleza.
This has been going on during every election period.Haihitaji akili sana kujua wananchi wanatapeliwa na wnasiasa.
 
Madai yako si ya msingi na huwezi kuyathibitisha, serikali itajenga barabara kadiri ya uwezo wake si kwa ahadi za wanasiasa majukwaani, kama kwa umri huo bado unawaza mbunge ajenge barabara basi we ni punguani.
 
Masopakyindi, Ni dhahiri kabisa kwamba Mkoa huu unadharauliwa na dhani kwasababu ya asili ya watu wa huku hawajali nyumbani kabisaaa...Leo hii ukifika Mkoa wa Mbeya utasikitika kabisa...Wakati wakulima walushoto wanapewa kiwanda cha chai wakimiliki ,jiulize wakulima wa Chai Rungwe viwanda vyao viko wapi? Wakati kuna uhakika wa Kipato na gesi kisheria hususan kwa wenzetu wa Mtwara huku Gesi ya kyejo inachotwa na watu kama hawana akili nzuri na mita mia saba toka gesi inapochotwa kunawanafunzi wamekaa chini sakafuni ....hakuna madawati... Kwenye miundo mbinu ya barabara ndiyo vituko...kusafiri umbali wakilomita 29 Mwananchi analazimika kulipa shilingi 4500 hususan kutoka Tukuyu kwenda Lwangwa au kutoka Katumba kufika Mwakaleli. Suala la umeme vijijini nalo huku ni kituko cha mwaka...Kakao inalimwa lakini ukiuliza msingi na manufaa yake kwa mkulima hakuna anayejishughulisha husuana kwenye suala la pembejeo wakati mkulima wa Pamba anafidiwa na Mfugaji wa Arusha analipwa mifugo yake iliyokufa kwa ukame lakini Mfugaji wa Rungwe ambaye ma mia ya Nguruwe ya mekufa hakuna fidia wala kifuta jasho...ni wakati muafaka sasa kwanza kuwauliza viongozi wetu iwapo gari wanalo endesha linafaa kutubeba wanambeya...
Kwa hili nakuunga mkono kwamba hakika hatutendewi haki kabisa .
 
Leta ushahidi wa uongo wako huu
Usiwe mvivu hata wa kufikiri!
Wewe kata tiketi uende sehemu hixo ujionee mwenyewe!Mida hii ndo mashangingi yanapandisha milima kutoa ahadi wanazojua hawatszitekeleza.
This has been going on during every election period.Haihitaji akili sana kujua wananchi wanatapeliwa na wanasiasa.
 
Madai yako si ya msingi na huwezi kuyathibitisha, serikali itajenga barabara kadiri ya uwezo wake si kwa ahadi za wanasiasa majukwaani, kama kwa umri huo bado unawaza mbunge ajenge barabara basi we ni punguani.
Soma mada kwanza uielewe, nyie ndo mnakuwa na ma Phd ya kusokomezewa lakini vichwa ni vitupu.
Elewa mada, na mbunge hana tatizo hapa.
Unakuwa kama kijana wa uelewa wa form two!!!
 
Masopakyindi,hapo umenena ndugu yangu.Umesema ukweli mtupu. Siku moja Kikwete alikuja Mwakaleli kiwanda cha chai,akaahidi kujenga barabara ya lami toka Katumba hadi Lwangwa kupitia Isange lakini hadi leo hata dalili hakuna. Halafu ccm watakuja kuomba tena kura za wanyakyusa waliodanganywa. Thubutu,wanyakyusa ninaowajua wana misimamo yao.Hawapendi kuonewa. Hebu tujiulize pamoja na ccm kuwa na sera ya kujenga miundo mbinu ya barabara nchi nzima; ni barabara ya lami ipi imejengwa wilaya ya Rungwe na Kyela tangu Kikwete aingie madarakani miaka 10 iliyopita?

Mkuu umekosea hakuahidi mara moja mara yakwanza alipoahidi mwaka 2005 alipewa na zawadi ya hgombe mwenye kutoa Lita ishirini za Maziwa kwasiku.Alipokuja tena kamasikosei ni Mwaka 2009 aksema mchakato umekamilika na mkandarasi yuko njiani na vifaa kuanza ujenzi akapewa tena ngombe mwingine wa Mazxiwa na kuondoka .Tunaisubiri sana saaana CCM ije kutuomba kura mwaka huu hatujasahau Mkuu....Tumepigika kiasi cha kutosha ,Tumeteseka kiasi cha kutosha na tumedanganywa kiasi cha kutosha...Pinda alikuja kutuzugha lakin hatuzughiki
 
mwenye asili ya uwongo utamuona mada zake za kuokotaokota

Wakimataifa ;kwahili hajasema uwongo tena Ukipata fursa muulize Kikwete mwenyewe atakuambia .Amewadanganya wana Rungwe Mara mbili Mara ya kwanza alipokuwa akizindua kiwanda cha chai na mara ya Pili ilikuwa Mwaka2009 na mara zote wananchi wakamzawadia ngombe bora wa maziwa kwa furaha anayetoa lita ishirini kwa siku lakini hadi leo huku kijijini tunasafiri Juu ya majabali na Mahandaki na umbali wa KM 29 ambao ninyi mliokop mjini mnalipa shilingi mia tano sisi huku tunalazimika kujikamua shilingi 4500....2015 ccm huku tutaifanya historia sta tuned
 
Madai yako si ya msingi na huwezi kuyathibitisha, serikali itajenga barabara kadiri ya uwezo wake si kwa ahadi za wanasiasa majukwaani, kama kwa umri huo bado unawaza mbunge ajenge barabara basi we ni punguani.

Sonotorius Haya madai ya Masopakyindi huwezi kuyaelewa ukiwa nyuma ya Keyboard hapo unabofyabofya we jaribu tu kupanga safari ya kuja kututembelea uzungumze nasi, tena usije na gari yako uje ukunje huku kwenye vipckup AU viteksi tunavyotumia utikiswe tikiswe halafu ukifika, katembelee kata za Kambasegelea ambako baadhi ya sehemu hazifikikikabisa na ufanye zoezi la kuvuka kwa kamba,ujionee mwenyewe mwananchi kakilipa nauli ya shilingi 4500 kwa umbali wa KM 29,Ujionee mwenyewe namna Mkungu wa ndizi unaouzwa elfu ishirini huko Tanzania...huku kwetu unanunuliwa kwa shilingi 2000 ...ujionee kwa macho yako muujiza wa mkulima wa zao la chai ambaye kwa namna shamba linavyokuwa kubwa zaidi ndivyo anavyozidi kuwa masikini zaidi...Ufike na uone jitihada za wananchi kufanya ufugaji wa kisasa unavyopuuzwa na serikali na lita Tano ya Maziwa safi yasiyo ghushiwa kufikia kuuzwa shilingi 2000....Tena usisahau kupitia kule kwenye Halamashauri yetu wakwambi mrabaha wa gesi wanaopata kama hujazimia kwa mshtuko Kisima cha gesi kinatoa mrabaha utadhani ni kilabu ya pombe za mataputapu, karibu mkuu Uone namna ambavyo vikongwe wanalazimishwa kuwa gymnastic na kuvuka Madaraja kwa kuning`inia kwenye Kamba.Haya Mambo yanapatikana huku kwetu ila huko mliko hayako maake nasikia sasa munatengeneza mabarabara ya kuvuka bahari kabisa tena eti mengine yapite hewani kuwaepusha na jam sisi huku kwetu nchi iko vilevile kana kwamba uumbaji ulikamilika juzi tu.....Huwezi kumuelewa masopakyindi kama hujaja huku na kutuhoji
 
Ninachofahamu kwa jinsi upepo ulivyo kwa sasa watu washabadirika na wana mitazamo chanya katika maamuzi yao so let's wait and see!
 
suala la mifuko ya pensheni na nhc kuungana na serikali kutengeneza matabaka ndio linaniumiza zaidi. Enzi za nyerere uwekezaji wa mifuko hii ya umma ulikua sawa ila leo mifuko yote inajenga Moshi, Arusha na Mwanza. Watanzania tunaona kawaida tu. Muda utafika siasa za ukanda zitaanza kwa staili hii
 
Bila kumung'unya maneno ni kama mashirika hayo yamezuiwa kuwekeza Mbeya kwa amri.
Kila kigezo cha kuwekeza Mbeya kipo, iwe kibiashara, iwe ukubwa wa jiji, iwe kama jiji linalounganisha nchi za Congo, Malawi Zambia, na hata iwe njia kuu toka Kusini mwa Afrika.

Sioni jinsi serikali ikakosa kuliona hilo, kuna mkono wa mtu!!!!
 
Mkuu umekosea hakuahidi mara moja mara yakwanza alipoahidi mwaka 2005 alipewa na zawadi ya hgombe mwenye kutoa Lita ishirini za Maziwa kwasiku.Alipokuja tena kamasikosei ni Mwaka 2009 aksema mchakato umekamilika na mkandarasi yuko njiani na vifaa kuanza ujenzi akapewa tena ngombe mwingine wa Mazxiwa na kuondoka .Tunaisubiri sana saaana CCM ije kutuomba kura mwaka huu hatujasahau Mkuu....Tumepigika kiasi cha kutosha ,Tumeteseka kiasi cha kutosha na tumedanganywa kiasi cha kutosha...Pinda alikuja kutuzugha lakin hatuzughiki

hapo ndipo mlipokosea kwa kumpa rushwa, ingawa nyie mlifikiri mnampa zawadi
 
Wakazane na ziara waponde raha ndie muda waohuu
 
Kuna barabara ya Katumba, Lwangwa, Masoko hadi Tukuyu.
Barabara hii umekuwa wimbo wa kujipatia kura tu kwa kila anayetembelea Mbeya.
Ingalau barabara za Mpemba kwenda Isongole inafayiwa kazi, na hata zile barabara za Millenium Challenge nazo vile vile.
kwenye nyekundu hapo mkuu, hakuna kinachofanyika kwenye hio barabara kwani kila mwaka linapita grader mvua ikinyesha ndo utakoma, kuna jamaa kajiwekea mtego wa kila mwaka kupata 300+mln kwa ajiri ya kupitisha grader tu..Majuzi watu wa Tanroad ndo wamepita kuweka X kwenye nyumba za barabarani wananch wanauliza walikuwa wapi tangu 2010??watu wa Mbeya ni watu makini sana aisee...
 
suala la mifuko ya pensheni na nhc kuungana na serikali kutengeneza matabaka ndio linaniumiza zaidi. Enzi za nyerere uwekezaji wa mifuko hii ya umma ulikua sawa ila leo mifuko yote inajenga Moshi, Arusha na Mwanza. Watanzania tunaona kawaida tu. Muda utafika siasa za ukanda zitaanza kwa staili hii
nadhani mashirika siyo ya kulaumiwa, mashirika yanapiga biashara na yanauhuru wa kuwekeza yanakotaka.
 
nadhani mashirika siyo ya kulaumiwa, mashirika yanapiga biashara na yanauhuru wa kuwekeza yanakotaka.

Mkuu hili la kibiashara mbona lishajibiwa?
Bila kumung'unya maneno ni kama mashirika hayo yamezuiwa kuwekeza Mbeya kwa amri.
Kila kigezo cha kuwekeza Mbeya kipo, iwe kibiashara, iwe ukubwa wa jiji, iwe kama jiji linalounganisha nchi za Congo, Malawi Zambia, na hata iwe njia kuu toka Kusini mwa Afrika.

Sioni jinsi serikali ikakosa kuliona hilo, kuna mkono wa mtu!!!!
 
Cha kumshukuru Mungu ni kwamba Mbeya is naturally endowed! wanazuia mashirika ya pensheni kuwekeza lakini wakati huohuo TBL wamejenga plant ya kisasa East Africa! muulize mtu yoyote wa TBL, plant ya Mbeya inaperform vizuri kuliko plant nyngne yoyote hapa nchini! Juzijuzi hapo Iringa walikuwa na higher learning institutions nyingi kuliko Mbeya! now Mbeya kuna institutions nyingi mara Mbili ya Iringa! hata wasipowekeza Mbeya bado mashirika na kampun binafsi yatawekeza! na ndo maana ka-jiji ketu bado kako A-live! kama umekuja Mbeya kuanzia the late 2014 mpaka mwaka huu utakubaliana nami kwmb jiji limeanza kuwa Alive sana! petrol station mpya za kisasa zinajengwa, ongezeko la Mini super markets na ongezeko la majengo ya kisasa yanayojengwa na watu binafsi i.e Maranatha, Tughimbe, Kanji Lalji na wengineo, na mabenki mengi yamezid kufungua branchs hapa! most recently Advans bank, Akiba na Access bank! by far bado Mbeya ndo capital ya southern highland! na naamin mtawala ajae hatofanya makosa kama yaliyofanywa katika utawala wa hawa ndugu zangu wa sasa!
 
yaani hapa natamani nikutukane. kla siku tunasema kikwete kajenga mabarabara mnaishia kuponda kuwa mabarabara sio maendeleo leo hii unaandika use...e ule ule mnaoupinga siku zote mitandaoni. stupid.

He who wears the shoe knows where it pinches!!
Mnojengewa mabarabara hadi uchochoroni mnajijua na hamuulizi kwa nini mnajipendelea.
Leo tukiuliza ati ukabila, shame on you!!!

Ndio kilio changu ndugu yangu.
Barabara ndio msingi wa maendeleo, kimsingi ni kama wilaya zetu hizi zimehujumiwa kimaendeleo.
 
yaani hapa natamani nikutukane. kla siku tunasema kikwete kajenga mabarabara mnaishia kuponda kuwa mabarabara sio maendeleo leo hii unaandika use...e ule ule mnaoupinga siku zote mitandaoni. stupid.

Infuakti stupidi mnyewe maana unadandia treni kwa mbele.
Nyie ndo mnshindwaga shule kijinga sana, soma mada zangu na ujue niko mlengo gani na pili soma mada kwa umakini ili ujue unajibu nini.
Stupidi kabisa!
*#}~xx&;;%##¥!!!!
 
Back
Top Bottom