masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,171
Nimefuatilia kwa makini ziara ya Waziri Mkuu Mkoani Mbeya katika siku za karibuni.
Mkoa wa Mbeya viongozi wengi wa kitaifa wamekuwa wakiukwepa kiziara kwa muda mrefu, na hata wakienda ni kama kutimiza tu wajibu.
Sijui ni muendelezao wa mivutano ya kinyag'anyiro cha urais wa mwaka 2005 au vipi, lakini kwa wananchi wa mkoa huo we have felt the void.
Pamoja na hayo uwekezaji wa mashirika na idara za serikali mkoani hapo umekuwa mdogo sana kulinganisha na position ya mkoa kijiografia na kibiashara.
Mashirika kama NSSF. PSPF na mengine yanayofanya uwekezaji wa kutisha mikoa kama Mwanza na kwingineko, yameukwepa kabisa Mkoa wa Mbeya.
Hata ile miradi iliyoanzwa imechukua muda mrefu sana , ikiwa ni kielelezo cha kusua sua kwa serikali kupeleka uwekezaji wake huko.
Songwe Airport(Kilometa tatu za runway) imechukua miaka karibu kumi kujenga!!!!!
Mradi wa soko umesua sua miaka sasa.
Barabara ya Chunya ndio hivyo nayo ingalau sasainakwenda lakini imesua sua mno.
Huko kwetu Rungwe/Kyela pamoja na kilio cha barabara hakuna seriousness yoyote katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya barabara, tunahisi kipaumbele ni baarabara hasa za kanda ya ziwa!!!!
Leo hii hata aakija kutembelea Rais mkoani hakuna mradi wowote wa maana wa kuufungua au kuweka jiwe la msingi!!!.
Miradi midogo midogo inayoonekana ni ya wajasiriamali, na mingi si endelevu.
Ombwe hili limekuwa felt kiasi kwamba hata vijana wa leo hawaijui tena CCM.
Pengine utawala uliopo ukifikiria unamkomoa mtu fulani, lakini kwa kweli kizazi kizima ndani ya hii miaka kumi kimeathirika kwa kukosa maendeleleo yanayostahili.
Nisingelaumu mtu, lakini come 2015, CCM itavuna ilichopanda, hasa kwa kuona ukweli kuwa mkoa wa Mbeya ulikuwa one of the staunchest suppoerters wa CCM
Ndio maana nasema , hizi ziara kama za Mh Pinda zinakuja sasa wakati its too late, and they can do too little to change the winds!!!
UPDATE
Kumekuwapo na ziara nyingi sasa hivi za waheshimiwa mkoani Mbeya kuajiribu kurudisha mwamko wa kuirudisha CCM katika umaarufu wa awali katika siku za hivi karibuni.
Pamoja na Ziara ya Mh Pinda, naibu Waziri Makalla ametembelea huko kuona maswala ya Maji, Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji nayo imepita.
Na leo 2/4/2015 ,Mzee Mzima Bulldoza Stephen Wassira yuko mkoani.