Ziara ya Mbunge wa Ndanda Jimboni Kwake 10 na 11/06/2017

Zamazangu

JF-Expert Member
May 16, 2015
827
465
Mbunge wa Jimbo lla Ndanda Chadema. Cecil David Mwambe, ametembelea kata za Lukuledi na Chiwata ambako alishirikiana na wananchi ktk Ujenzi wa Zahanati. ziara hii imekuwa na mafanikio makubwa ktk kutekeleza ahadi zake kwa wananchi huku akishiriki yy mwenyewe ktk shughuli hizo. kata zingine ambazo zimepewa miradi ya ujenzi wa zahanani kupitia mfuko wa jimbo ni pamoja na Kata ya Ndanda, Mwena, Chikukwe Chikundi, Mpanyani, na Chiroro. Mwitikio wa wananchi katika kichangia ngici zao no mkubwa. tunamuombea kila LA kheri Mwambe na Wabinge wote wanaojitambua na wako tayari kutatua kero za wananxhi waliowapa ridhaa ya kuwa viongozi. big up
 
Back
Top Bottom