Ziara ya Kinana Arumeru Magharibi

Ndugu mshana jr

Haya ni mawazo yako ambayo ni subjective.

CCM haishindi chaguzi mbali mbali kwa bahati mbaya bali kwa mikakati ambayo unaweza ukaiona haifai.

Moja ya malengo ya CCM ni kushinda chaguzi katika msingi wa sera na Ilani ya Uchaguzi.

Baada ya kushinda chaguzi, kazi ya CCM ni kuhakikisha sera na Ilani yake ya Uchaguzi inatekelezwa na serikali.

Hatuendi vijijini kufanya mikutano ya hadhara pekee bali mikutano ya hadhara ni sehemu mojawapo ya kukutana na wananchi.

Tunaweza kukubali kutokubaliana!
 
Mhhh we umeshashindikana, hata haujielewi, n[SUP]goja nijiandae kufanya yangu asubuhi hii niachane na haya maujinga.[/SUP]
​ni kweli bora ukafue chupi tu mana huna cheo chochote ndani ya chama, umebaki kuwa mwanachama wa SISIEM kwenye mitandao
 
JB inabidi amshirikishe kinana kwenye movie zake...anaonekana kuwa mwigizaji mzuri sana
 
Jamani waliojifunzia ushauri, muanzie kwa kinana kumshauri kuwa yuko peke yake hata mwenyekiti wake ni ukawa kwani ndiye ameinua upinzani dhidi ya ccm
 
​ni kweli bora ukafue chupi tu mana huna cheo chochote ndani ya chama, umebaki kuwa mwanachama wa SISIEM kwenye mitandao
Ndugu;
Kwani huwezi kujenga hoja bila dharau na kutukana.

Watu kama wewe mkifungiwa na MOD's mnaanza kulalamika.

Nani alikufundisha kama matusi ndiyo hoja au matusi ndiyo ngao katika kupambana na hoja.
 



Kweli bila ccm kuonesha vioja na wanyama hawapati watu ili wapige picha kuwa wana wafuasi wengi, walio wengi kwenye mikutano ya ccm wanakwenda kuona matukio na si mwamko na mapenzi ya ccm, wengine wanakwenda kushangaa ngoma, magari na si kwamba ni wapenzi wa ccm
 
CCM bana, naona wameamua wamtamatishie Mathias hapa.
 
 
MwanaDiwani upo sahihi kabisa inapaswa kuwa hivyo lakini bahati mbaya sana kinavyofanyika kwasasa ni kinyume na matarajio ya wengi
Tunaweza tukawa tunalaumu tu lakini kwakweli kwa umri wake ccm kimechoka na kinahitaji mkono katili na wenye nguvu kuweza kukirudisha kwenye mstari
Kinana anajitahidi kurekebisha wenzake nyuma yake wanakazana kuharibu mwisho wa siku kila kitu kinaonekana kama mchezo wa kuigiza
 
Last edited by a moderator:
JB inabidi amshirikishe kinana kwenye movie zake...anaonekana kuwa mwigizaji mzuri sana

Hizi Muvi wanazoigiza ni zakuufurahisha mioyo yao tu! Eti unaangalia mtu akikemea serekali wakati ni serekali ya chama chao. Kisa wanataka kuwarubuni wananchi kuwa wanajali sana matatizo yao ingawa hawajaweza kuyatatua. Wanataka kukitenga chama na serekali ya raisi wao kikwete. Hio ni muvi tu watanzania watawastukia tu.
 
hii Capet ya nlangoni NATO inapost ujinga huku?MTU atakayeiacha pale Lumumba in kh.a.nith tu
 
Kazi na dawa

Kazi na dawa?Huna macho?Huoni jamaa wa pembeni yake wanapiga miayo? Mnapelekeshwa kama vikaragosi vya karatasi. Ingekuwa picha ya CCM mngesema kazi kula tu ila viongozi wenu mhh.
 
Wanafunzi wa shule wanafanya nini kwenye mikutano ya CCM huku wakikosa Vipindi
 
We chngu umesoma shule gani? Miaka 50 Plus ya Uhuru CCM imeshindwa kupambana na Ujinga, Maradhi na Umasikini badala yake imeongeza adui mwingine Ufisadi!!! Ni aibu nchi yenye Rasilimali nyingi za kila aina kuwa Fukara kiasi hiki!!! Hakuna Maji, Umeme, Huduma za Afya, Elimu ni Duni kupitiliza... Ujangili unatamalaki, Wizi Rushwa imekuwa sehemu ya Maisha kwa Wanaccm wasiojitambua! Wananchi wanakamuliwa kodi kuliko wakati wa Ukoloni wa Waingereza na Ujerumani... wawekezaji Uchwara wamefanya Tanzania kuwa Shamba la Bibi... Juliana et al: Mnaamini kuwa CCM itawaletea Wananchi Maendeleo? Mnaamini kuwa CCM itakomesha Rushwa na Ufisadi wenye Kunuka? Mnaamini kuwa chini ya Sera za CCM Rasilimali za nchi zitawanufaisha Watanzania?... Leteni Majibu, Ngonjera sitaki...
And U need to be refered to MILEMBE in Dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…