Ziara Ya Katibu Mkuu Dr. Wilibroad Slaa Leo

Acha kubwabwaja wewe toa hoja,hao moderators wanajua kwamba babu slaa alikuwa padri,wanajua kwamba aliasi dini yake na upadri,wanajua kwamba anaishi na mke wa mtu sababu hajamwoa na hajapewa talaka sasa wewe unachopinga kitu gan?kama sio uzinifu tuite jina gan?
Usifikiri hatujui kutoa haya Maneno
 
Acha kubwabwaja wewe toa hoja,hao moderators wanajua kwamba babu slaa alikuwa padri,wanajua kwamba aliasi dini yake na upadri,wanajua kwamba anaishi na mke wa mtu sababu hajamwoa na hajapewa talaka sasa wewe unachopinga kitu gan?kama sio uzinifu tuite jina gan?
usipokula ban ya milele nitashangaa sana ! hili jukwaa lina utaratibu wake mkuu .
 
Acha kubwabwaja wewe toa hoja,hao moderators wanajua kwamba babu slaa alikuwa padri,wanajua kwamba aliasi dini yake na upadri,wanajua kwamba anaishi na mke wa mtu sababu hajamwoa na hajapewa talaka sasa wewe unachopinga kitu gan?kama sio uzinifu tuite jina gan?

huyu mwanamke ameacha kunyonyesha ni Nepi
 
Acha kubwabwaja wewe toa hoja,hao moderators wanajua kwamba babu slaa alikuwa padri,wanajua kwamba aliasi dini yake na upadri,wanajua kwamba anaishi na mke wa mtu sababu hajamwoa na hajapewa talaka sasa wewe unachopinga kitu gan?kama sio uzinifu tuite jina gan?
Cookie, Mhariri, Active na Moderator, je ni kweli kwamba haya anayodai stanlthecreator kuhusu Dr Slaa hata nyie mods mnayajua? Ningependa sana kujiridhisha kwamba hamuoni tatizo lolote na haya madai yake kwa namna alivyoyawakilisha humu Jukwaa la Siasa. Ningependa pia nijiridhishe kwamba lugha aliyoitumia haina matatizo na inakubalika kulingana na kanuni za JF. Naomba majibu kutoka kwenu kupitia hii hii mada na jukwaa hili hili, nasubiri.
 
Sio hivyo tu,kwa sasa huyu bwana anaizini ccm kwa kiwango cha juu.
Acha kubwabwaja wewe toa hoja,hao moderators wanajua kwamba babu slaa alikuwa padri,wanajua kwamba aliasi dini yake na upadri,wanajua kwamba anaishi na mke wa mtu sababu hajamwoa na hajapewa talaka sasa wewe unachopinga kitu gan?kama sio uzinifu tuite jina gan?
 
.....

attachment.php
 
Tatizo lako munachanganya issues hapa. Hili ni jukwaa-la-siasa. Ktk siasa kuanza kuleta mahusiano binafsi yasiyohusiana na siasa kama yana-attack personality zao mnakosea. Humu sisi ni wachanga ktk historia za siasa? Kwani Rais mzuri ni mwenye staili ipi ya dini na ipi ni ndoa yake? Kuna dini zinaitaji za kishetani kusali kwake lazima uvue nguo zote, je ktk kujadili rais wetu iko haja ya kujua kama Rais mtalajiwa ni wa dini hii anatimizaje masharti haya? Je kama ikitokea anafuata upagani ina haja ya kujua jinsi atambikavyo huku ameoa wanawake saba? Kuhusu uoaji wa kipagani si umekaa sawa na uoaji wa kiislam? Yaani of hata wanawake sita mradi unajiweza? Je hili litupotezee muda kujadili rais wetu kama analifuataje bila kujadili anapolifuata lina athiri vipi maisha yetu? Ufungaji wa ndoa unatofauti nyingi. Kuna za mkeka, kuna za kuvalishana Pete, kuna za kufungwa kwa pamoja na kamba kwa muda, kuna za jamii kukaa Mkapa pamoja, nk. Haya ya ndoa ni hoja kiasi kupotezea baadhi yenu muda kiasi hicho na majina GT? Kama sisi tu wafuatiliaji wa siasa zetu za hapa bongo, kuna rais wetu wa nyuma alikuwa na mahusiano na binti wa Kitwana kondo je hilo lilimpunguzia nini ktk urais wake? Unajua anavyo heshimika kwa sasa. Je aliyemfuatia munafahamu mke alivyoletwa wakati akigombea alisha kuwa sio wake hata mmoja wa waziri wake wanapakaziapo Maneno. Lakini huyu si ndie tunajivunia kuwa Rais bora. Ebu fuatilia mambo ya ndoa ya waziri Sofia Simba. Huku ameolewa na mu-South na huku akiwa ktk kampaini anafikia kupitiliza na Kitwana hadi kuzaa naye. Lakini huoni alivyofanya vizuri ktk UWT na ktk uwaziri na sana uwaziri unao husu wake zetu na watoto wetu? Haya yako na kuolewa, kupendana na kujamiana, kufunga na kufungua ndoa yanatuhusu na urais wetu. Mbona mnahamishia misuli yenu pale tu. Kwa nini msifungiwe?
 
Back
Top Bottom