Kila la heri raisi wetu mtarajiwa watanzania tuna imani kubwa na wewe.
VOTE FOR CHADEMA.
Ndugu Emma ukawa weshamchagua Dr kuwa mgombea wao, au unamuombea achaguliwe?
Magamba yanamwogopa Daktarii wa Ukweliii hahaha
Bila Slaa kura yangu bora nifanye kuizika tu.
inatakiwa zaidi ya hapo, najua mnafika lakini si kwa kiwango kizuri, mkifikia nusu ya vijiji vyote nchini october yenu, Mtaji wa hawa wezi upo vijijini, na wanajua huwa hamfiki huko.
Padri mzinifu sana huyu,Mungu kamlaani kwa kusaliti kazi yake
Chagua ukawa lete mabadiliko Tanzania
Padri mzinifu sana huyu,Mungu kamlaani kwa kusaliti kazi yake
Confused,msamehe bure hapo ndo magreat thinkers wa zama hiziSijaelewa umemaanisha nini?
VOTE FOR CHADEMA.
Confused,msamehe bure hapo ndo magreat thinkers wa zama hizi
wewe via gamba!!!!!
Cookie, Mhariri, Active na Moderator, stanlthecreator si mara yake ya kwanza na hayupo peke yake katika kutoa lugha chafu kama hii ambayo lengo lake ni kumdhalilisha kiongozi kama Dr. Slaa kwa mambo binafsi. Kwamba wapo watu kama stanlthecreator halishangazi hata kidogo kwani wapuuzi wako wengi duniani, linalogomba ni vipi mmewaruhusu wahuni hawa kuendeleza upumbavu wao humu JF na hasa jukwaa hili. Haijalishi kama mtu mwenyewe anavaa gamba au gwanda, tabia hii ingeweza kukomeshwa mara moja kama tu mngewapa stahiki yao bila kujali wanatoka kundi gani kiitikadi, kijamii au kiimani. Hii si mara yangu ya kwanza kuwaomba kushughulikia mambo kama haya na haitakuwa mara yangu ya mwisho kuwakumbusha; mnatuangusha.Padri mzinifu sana huyu,Mungu kamlaani kwa kusaliti kazi yake
Cookie, Mhariri, Active na Moderator, stanlthecreator si mara yake ya kwanza na hayupo peke yake katika kutoa lugha chafu kama hii ambayo lengo lake ni kumdhalilisha kiongozi kama Dr. Slaa kwa mambo binafsi. Kwamba wapo watu kama stanlthecreator halishangazi hata kidogo kwani wapuuzi wako wengi duniani, linalogomba ni vipi mmewaruhusu wahuni hawa kuendeleza upumbavu wao humu JF na hasa jukwaa hili. Haijalishi kama mtu mwenyewe anavaa gamba au gwanda, tabia hii ingeweza kukomeshwa mara moja kama tu mngewapa stahiki yao bila kujali wanatoka kundi gani kiitikadi, kijamii au kiimani. Hii si mara yangu ya kwanza kuwaomba kushughulikia mambo kama haya na haitakuwa mara yangu ya mwisho kuwakumbusha; mnatuangusha.
Wewe ni msafi kiasi gani mpaka umuhukumu mwenzio? Unaijua laana?Padri mzinifu sana huyu,Mungu kamlaani kwa kusaliti kazi yake