mtvbase
JF-Expert Member
- May 22, 2014
- 1,243
- 563
Sii kambi ya mama salma mumeona Membe hauziki kwaiyo munahamishia majeshi kwa Migiro......ila na nyie familia ya WAMA mnatapatapa aisee sababu kubwa ni kumzuiya Lweigwanan.....mlianza na Membe kumuuza ikawa nguma, mkaja na Migiro naye madudu yake ya UN yakajulikana watu wakaonyesha dalili ya kumkataa, mkaenda kwa Wassira huyu ndio watu hawakuweza hata kuchukua muda wa kumjadili kwa matendo yake ya nyuma ikiwepo na kuhukumiwa kwa kutoa rushwa ambayo ni doa kubwa sana na pili sura yake actually uwezi iweka kwenye frame ikaenea, then mkaenda kwa Pinda huyu wananchi wakaona ikulu itakuwa sehemu ya kulia kwenda mbeleeeee manake hata leo kuna taarifa kalia baada ya Kubenea kushinda mahakama kuu, sasa naona mumerudi tena kwa Migiro bila kujua swala la katiba ndio silaha itakayomjonga kabisa
Hivi kusema lowassa anaumwa ndio kumshambulia?