OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Vijana wa WAMA mnasumbuka sana aisee....na jinsi mnavyomwandika sana Lowassa ndio mnapaisha jina lake.....wananchi wanapata fikra na kujiuliza kwa nini huyu jamaa anazushiwa mambo namna hii na kwa hakika munamuongezea what we call sympathy votes.... asanteni sana kwa hilo