Ziara ya dr. Bilal (Mbeya) yadoda


kachoka sana, Halafu haangaliagi watu usoni anaona aibu, anakula hela za wabongo bure....
 
Kwani amekuja kufanya nini Mbeya, na yupo kwa siku ngapi?
 
Alakiwe kwa lipi kikongwe huyo? Kuwepo kwake ni sawa na kutokuwepo.
 

Ya CDM yametoka wapi?
 
Edson ulitaka atembee na nani? Tatizo la uwezo wetu kubaini mambo umejikita katika kufichaficha taarifa zetu sasa kiongozi mkuu kama huyo anapoonyesha taarifa za familia yake wazi shida iko wapi? Au umeshakutana nao wakiwa na misafara? Leteni hoja za maana tujadili hapa, hali ya maisha, dawa loliondo, umeme, bei za mafuta na viishu vya familia ya VP.
 
Thanks JK for the news. Yalishaanza kusemwa mengine humu. Kumbe Mbeya bado hawajachafuliwa. Big up to them.
 
Hii ni kijiji gani huko mbeya?hapa sio mjini asilani,msitudanye tafadhali.kakusanya waalimu na wanafunzi ndo wamejaa.labda angetembea na Origional Commedy-Masanja mropokaji.
 
yah kweli ametua kwa kishindo...hao watu si haba, wanaweza kufikia about 10% ya wale wa slaa kila anapopita

good job
 
hizi ni picha za babu bilal akiwa amechoka sana na propaganda za ufisadi wakati ule wa uchaguzi october ..... leo unaleta hizi picha akiwa amevaa magwanda ya ccm kama makamu wa raisi eti yupo mbeya ..... tumeshazoea uongo wa sisiem hivyo watu wanapotezea upupu huu
 
Bado sijamjua vizuri huyu BIlali Hebu mnikumbushe nafasi ya yake katika uongozi wa taifa yeye ni nani na utambulisho wake ni upi?mnisamehe kwa kuomba kumjua bilali
 
Hata kwa kuangalia picha zako, Idadi hiyo ni chini ya robo ya Idadi ya waliokuwepo katika mikutano ya Chadema kanda ya Ziwa. Subiri Chadema waje Mbeya. Halafu ulinganishe. Lakini pia utuambie kati ya hao waliokuwepo wangapi walikodiwa magari ya kuwapeleka hapo? Pkipiki ngapi zimejazwa mafuta na CCM? Chadema hawafanyi hivyo hata kidogo. Matangazo tu ndo watayatoa.
 
Wewe JeyKey acha uongo, hizo picha za kampeni 2010 unaongopea watu ni Mbeya. Just name the place hapo unapodai picha ilipochukuliwa............ Hizi propaganda zenu hazitawasaidia!
 
SIR NAME: BILAL

OTHER NAMES: MOHAMMED GHARIB

PLACE OF BIRTH: ZANZIBAR

MARITAL STATUS: MARRIED

SEX: MALE

NATIONALITY: TANZANIAN

PERMANENT HOME ADDRESS: P.O.BOX 234 ZANZIBAR

COUNTRY OF RESIDENCE: ZANZIBAR

EDUCATIONAL BACKGROUND

1967: AWARDED B.Sc (PHYSICS) HOWARD UNIVERSITY USA

1969: AWARDED M.Sc (PHYSICS) UNIVERSITY OF CALIFORNIA

(BERKLEY) USA

1976: AWARDED PhD (PHYSICS) UNIVERSITY OF CALIFONIA
(BERKLEY) USA

: NUCLEAR PHYSICIST

WORKING EXPERIENCE


CURRENT STATUS: VICE PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
CHAIRMAN OF THE BOARD UNIVERSITY OF DODOMA

PAST EXPERIENCE IN CIVIL SERVICE

1990-1995: PRINCIPAL SECRETARY MINISTRY OF SCIENCE
TECHNOLOGY AND HIGHER EDUCATION TO THE
UNION GOVERMENT.

1976-1990: UNIVERSITY OF DAR ES SALAAMDEPARTMENT
OF PHYSICS
1982-1988: HEAD OF THE DEPARTMENT OF PHYSICS

1988-1990: DEAN OF THE FUCULTY OF SCIENCE

OTHER POSITION AND RESPONSIBILITIES
MEMBER OF VARIOUS DEPARTMENT OF THE UNIVERSITY
OF DAR ES SALAAM - ACADEMIC COMMITTEE

SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICUKTURE, MOROGORO
TANZANIA

1988-1990: CHAIRMAN SCIENCE COMMITTEE OF INTER
UNIVERSITY COUNCIL OF EAST AFRICA

198 8-1990: BOARD MEMBER; COMMISSION OF SCIIENCE AND TECHNOLOGY

1893-1990: BOARD MEMBER; NATIONAL RADIATION COMMISSION

1988- 1990 MEMBER NATIONAL EXAMINATION COUNCIL

1989- 1995 MEMBER OF THE ROCKFELLER FOUNDATION FORUM
FOR CHILDREN EDUCATION IN SCIENCE AND
TECHNOLOGY


PROFESIONAL INTEREST
REDIATOIN PHYSICS
MEDICAL PHYSICS
APPLICATION OF NUCLEAR TECHNIQUES TO ENVIRONMENTAL SCIENCES
INNOVATIVE APPROACH TO SCIENCE
EDUCATION
 
Pamoja na kutangaza kwa siku 2 kila mtaa wa jiji la mby watu hawakujitokeza kumpokea vp dr. Bilal, hii inaashiria nini?

Uwongo mtupu bila hata chembe ya aibu.

Pole sana
 
Watu wanakabiliwa na matatizo mengi,hawaendi kumlaki kwa sababu wanajua fika Dr Bilal hataongea lolote litakaloleta ahueni kwenye mustakabali wa maisha magumu ya Mtanzania kwa sasa . Hawataki propaganda tena .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…