ziara ya doc wa ukweli

muislamsafi

Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
78
Reaction score
20
nataarifa zisizo rasmi kuwa mheshimiwa dr ws atakuwa babati kesho na atafanya mkutano wa hadhara naomba mtu anijuze ukweli wa taarifa hii kwani niko njiani nantapita babati kesho asubuhi kama vipi japonilale angalau sikumoja babati nipate maneno ya busara kutoka kwa dock wa ukweli
ORIGINAL

by muislamsafi
 
Hakuna msiba hapa mwingine, maana hawa ma Dokta wetu bana, mwingine yuko bize na Siasa na Mwingine kuzika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…