Ziara ya Barack Obama

Ziara ya Barack Obama

Michael14

Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
9
Reaction score
2
Habari zenu ndugu zangu.Naomba kueleshwa vizuri kuhusu ziara ya Rais wa marekani barack obama kuja hapa tanzania.
Huku mtaani kuna maneno mengi kua amekuja kwaajili ya dili zingine kama za gesi,madini na yurenium.
Na wengine wanadai labda kwakua Rais wa china nae alikuja anadhani anaweza akawa amekuja kumharibia mikataba yake ambayo ameshaiweka.
Mimi mwenzenu sielewi lolote kuhusu haya mambo naomba nieleshwe.
Naamini ndani ya jf kuna vichwa nitasaidiwa.JF ni serikali kamili.
 
kamuulize nape, kinana, mwigulu, na bosi wao kikwete wanajua sisi wengine atujui kwa sababu walikuja wakakaa kwenye kikao cha siri yaliojiri humo watakuwa wanajua
 
Lisamwalo na wananchi ndilo sahihi ila watawala wakijua wananchi wamejua hukana na kusema hakuna ukweli. Wananchi ndio waajiri ndio kila kitu hawa watawala wahataki tujue walifanyalo kwa maslai yao wenyewe tukijua tuuu hukana kwa nguvu zote ila baadae mungu htuonyesha ukweli wote.
 
Back
Top Bottom