Ziara Kilindi Tanga

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
942
567
Hbr Wana Jf.Nimepata Tetesi Waziri Flani Wa Nchi Anatarajiwa Kwenda Wilayani Kilindi Kwa Ziara Ya Siku 3.Aisee Na Aende Tu Mana Hiyo Wilaya Nasikia Inahitaji Dua Maalum Kwakweli Kimaendeleo.Kuna Member Yoyote Anaeifahamu Hiyo Wilaya Kiuchumi,kielimu Nk?
 
Hakufai kabisa kabla ya Kiblashi unaingia kushoto mvua ikinyesha ni hatari
 
Hbr Wana Jf.Nimepata Tetesi Waziri Flani Wa Nchi Anatarajiwa Kwenda Wilayani Kilindi Kwa Ziara Ya Siku 3.Aisee Na Aende Tu Mana Hiyo Wilaya Nasikia Inahitaji Dua Maalum Kwakweli Kimaendeleo.Kuna Member Yoyote Anaeifahamu Hiyo Wilaya Kiuchumi,kielimu Nk?
Ina jengo kubwa na zuri la halmashauri kuliko halmashari zote za tanga
 
Kuna fursa kibao za kukutoa kimaisha. Mihogo, mahindi vinakubali sana maeneo yale ila nina mashaka na Wazigua kama ni wakulima wazuri. Fursa za ufugaji ni maeneo mazuri sana ufugaji, huko ng'ombe wana eneo zuri la kulamba chumvi kiasi kwamba hata wafugaji kutoka Kiteto huwa wanapeleka ng'ombe wao kulamba chumvi huko!! Wazigua mimi siwaelewiiiiii!!!
 
Back
Top Bottom