Zero nikipata mwanamke wa aina hii naoa

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,916
24,674
Sina mambo sana kwenye kuchagua mwenza ila tu siku nikipata mwanamke ambae ni Mgumba/Tasa nitaoa na kuianza safari ya Ndoa

Wengi watauliza kwa nini nataka mwanamke wa dizaini hii ni kwamba. Naitaji mwanamke wa kumpa furaha, naitaji mwanamke ambae hana cha kupoteza(siyo siku mkigombana akimbilie kusema ni kwa ajiri ya wanangu ndio maana bado niko hapa,) na sababu zingine nyingi nyingi.

Watu mtauliza ina maana zero huna huitaji wa watoto?

Jibu ni kwamba mpaka sasa tayari ninao watoto wa kutosha nahitaji mke wa kunipa furaha tu.

Nikipata hata leo natangaza ndoa.
 
Raha ya kuishi na mgumba ni lazima wote muwe na stress za mtoto... Sasa hapo yeye atakua anawaza huku wewe unakula bata na watoto wako... Wa karne hiii atakuloga ufe... Akiwa sio mchawi mafuta ya moto utayaoga
 
Back
Top Bottom