Mi na wewe hapo kwenye team ya Hispania tuko pamoja mkuu. . . . Sasa acha nikuulize swali langu,Niko dodoma mkuu
Timu kibongo bongo ni Yanga
Hispania __Real madrid
England___Man U
Italia__Juventus
Germany__Bayern munich
Hakika sina chaguo mkuu member wote ni sawa kwangu hakuna aliye juu kumzidi mwingine ila hakika napenda sana Hekima za ndugu yangu Mshanajr pamoja na kipenzi changu yna2Mi na wewe hapo kwenye team ya Hispania tuko pamoja mkuu. . . . Sasa acha nikuulize swali langu,
Swali langu;
Kama ukipewa siku moja nzima kujumuika na JF Member mmoja wa kiume & mmoja wa wakike. Kina nani na nani ungependa kujumuika nao???? Na kwanini ungetamani kujumuika na hao???? (Mashara pembeni)[emoji53] [emoji18]
Mi ni mwanamme mkuu tena nadinda kuliko wewe uliza umeshaoa mara ngapi?