Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,029 Dec 28, 2011 #1 ZERO:Haya bwana chezo,panda mpaka ngazi ya juu kabisa(50m high) halafu ujirushe kwenye swimming pool.>>>>>>>> (BWANA CHEZO):Lakini mimi sijui kuogelea! (ZERO):Ondoa hofu,swimming pool yenyewe maji ya ugoko hivyo huwezi kuzama!
ZERO:Haya bwana chezo,panda mpaka ngazi ya juu kabisa(50m high) halafu ujirushe kwenye swimming pool.>>>>>>>> (BWANA CHEZO):Lakini mimi sijui kuogelea! (ZERO):Ondoa hofu,swimming pool yenyewe maji ya ugoko hivyo huwezi kuzama!