Zero brainer hapewi heshima Tanzania, nje wanamtambua na kumheshimu

bro alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
1,898
Reaction score
2,256
Mchekeshaji kupitia maudhui ya MITANDAONI akitumia mpira na staili za cristiano Ronaldo yuko Morocco kwenye maandalizi ya afcon, juzi tu hapa tulikua na chan ila kimyaa KWAKE, chuki na roho mbaya na kuweka watu wasio na sifa kwenye mamlaka vita tumaliza

Upendeleo TU jamaa Instagram ana wafuasi milioni tatu na zaidi na KAANZA hivi karibuni ila bado tu hatumpi nafasi kisa hatoki kwenye familia limbukeni za wanasiasa au Hana mazoea na waziri husika daah,

juzi nmemsikia kocha wa Tanzania akilalamika waandishi wa habari wame susa press yao wanaroho mbaya, press yao imezidiwa na press ya mwijaku na baba levo, wao wenyewe hawawaheshimu watu wanaojitoa kupitia huo mpira Tena hawalipwi hata na serikali ila heshima zero, mkuki kwa nguruwe kwa binadam mama linaumiza Hilo weka mbali.🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Screenshot_20250903-201824.png
Screenshot_20250903-201832.png

Fullstop kwishaaa
 
Tanzania hatuheshimu ubunifu. Niende mbali zaidi kwa kusema kuna tabaka linawaogopa wabunifu maana wana uwezo wa kuwafikia watu kwa ukaribu na haraka zaidi.
 
Mchekeshaji kupitia maudhui ya MITANDAONI akitumia mpira na staili za cristiano Ronaldo yuko Morocco kwenye maandalizi ya afcon, juzi tu hapa tulikua na chan ila kimyaa KWAKE, chuki na roho mbaya na kuweka watu wasio na sifa kwenye mamlaka vita tumaliza

Upendeleo TU jamaa Instagram ana wafuasi milioni tatu na zaidi na KAANZA hivi karibuni ila bado tu hatumpi nafasi kisa hatoki kwenye familia limbukeni za wanasiasa au Hana mazoea na waziri husika daah,

juzi nmemsikia kocha wa Tanzania akilalamika waandishi wa habari wame susa press yao wanaroho mbaya, press yao imezidiwa na press ya mwijaku na baba levo, wao wenyewe hawawaheshimu watu wanaojitoa kupitia huo mpira Tena hawalipwi hata na serikali ila heshima zero, mkuki kwa nguruwe kwa binadam mama linaumiza Hilo weka mbali.🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Fullstop kwishaaa
Tz wanaopewa heshima ni waropokaji tu.
 
Kwangu huyu mtu ni muhimu kuliko hata Samia na Kikwete. He makes me smile after being fu@#cked by the CCM
 
Huku machawa ndiyo wanathaminiwa kiasi cha kuzawadiwa mpaka ubunge! Achilia mbali pesa taslimu, uteuzi, nk.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom