Siko kwa Membe wala kwa yeyote,bali kufanya habari za siasa kiupambe namna hii ni aibu kwa Nipashe na ni kuzidi kuonyesha kuwa Mengi hana uadilifu aliokuwa anajililiza kwa umma.
Safari hii wajumbe watapewa Advance payment ya Rushwa wakishapiga kura wanapaswa kupiga picha kwa smartphone zao kuonesha kama kweli wamempa kura mgombea mkusudiwa ukitoka hapo unamaliziwa last payment.Kumchagua Lowassa ni kumchagua Rostam Aziz na Mengi, kumchagua Membe ni kumchagua Manji na Mohamed Enterprise
Nipashe na mengi kuna uhusiano gani, gazeti lina waandishi wake na mengi c mhariri wala mwandishi wake sasa mzee wa watu anahusika vp, yeye ni mfanyabiashara ameajiri wataalam wanafanya kazi hajawatuma wamwangamize nani na wamfagilie nani.
Reginald Mengi unatumia vibaya vyombo vyako kumpamba fisadi Lowasa. Huu nao ni mkakati wa kuhakikisha kuwa Fisadi anaenda magogoni
Lowassa ni kama nguruwe hata umsafishe vipi, lazima atajichafua.
Mengi ndiye anayeandika na kuhariri magazeti?
Reginald Mengi unatumia vibaya vyombo vyako kumpamba fisadi Lowasa. Huu nao ni mkakati wa kuhakikisha kuwa Fisadi anaenda magogoni
Mengi hataki kuachwa nyuma katika mtandao wa kina Rostam wa kufaidi rasilimali za nchi
Mkuu Lizaboni huogopi kusema ukweli unaouamini?Reginald Mengi unatumia vibaya vyombo vyako kumpamba fisadi Lowasa. Huu nao ni mkakati wa kuhakikisha kuwa Fisadi anaenda magogoni
Reginald Mengi unatumia vibaya vyombo vyako kumpamba fisadi Lowasa. Huu nao ni mkakati wa kuhakikisha kuwa Fisadi anaenda magogoni
Uwezi zuia mafuriko kwa.mkono dogo ..Wanaposema Lowasa anakubalika na wananchi wengi wanakosea. Fedha ndizo zinazokubalika, asingetoa fedha nyingi kuliko watia nia wenzake asinhekuwa anaongelewa hivyo.