Zengwe dhidi ya Lowassa lasukwa

Zengwe dhidi ya Lowassa lasukwa

Siko kwa Membe wala kwa yeyote,bali kufanya habari za siasa kiupambe namna hii ni aibu kwa Nipashe na ni kuzidi kuonyesha kuwa Mengi hana uadilifu aliokuwa anajililiza kwa umma.

Mengi ndiye anayeandika na kuhariri magazeti?
 
Nipashe na mengi kuna uhusiano gani, gazeti lina waandishi wake na mengi c mhariri wala mwandishi wake sasa mzee wa watu anahusika vp, yeye ni mfanyabiashara ameajiri wataalam wanafanya kazi hajawatuma wamwangamize nani na wamfagilie nani.
 
Safiiiiiiiiiiiii.....

Nipashe ni kati ya magazeti ya IPP lililo fair sana ktk habari zake.. ndio maana linauza sana nakala nyingi mno...!!!!

Hii habari yote ya ukweli...kipi cha uongo hapo.. !!? Kwani Lowassa si kila Tafiti anaongozaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Mamaeeeeeeeeeeee mtakaaaaaa tu...!!"
 
Safari hii wajumbe watapewa Advance payment ya Rushwa wakishapiga kura wanapaswa kupiga picha kwa smartphone zao kuonesha kama kweli wamempa kura mgombea mkusudiwa ukitoka hapo unamaliziwa last payment.Kumchagua Lowassa ni kumchagua Rostam Aziz na Mengi, kumchagua Membe ni kumchagua Manji na Mohamed Enterprise

In other words tunarejeshwa kwenye utawala wa rangi isiyo ya waafrika halisi
 
Nipashe na mengi kuna uhusiano gani, gazeti lina waandishi wake na mengi c mhariri wala mwandishi wake sasa mzee wa watu anahusika vp, yeye ni mfanyabiashara ameajiri wataalam wanafanya kazi hajawatuma wamwangamize nani na wamfagilie nani.

Waambie kuna watu hawajui taratibu za uandishi wa habari...!!! wamebakia kum attack Mengi bureeee....!!!!!

Mengi haandiki habari ktk magazeti yake....hata yeye Mengi asubuhi magazeti yakitoka analetewa ofisini kwake kuyasoma...!!!

Lowassa anawapa homa kali kama ya dengue, yaaani....!!!
 
Reginald Mengi unatumia vibaya vyombo vyako kumpamba fisadi Lowasa. Huu nao ni mkakati wa kuhakikisha kuwa Fisadi anaenda magogoni

kama lowasa ni fisadi kwanin asishtakiwe kama mramba na yona na kufungwa? kwani serikali haimwoni? vinginevyo tunajua either ccm wote mafisadi mnaogopana na kusemana kimajungu
 
hahahha ccm mnachekesha et lowassa fisadi nani sio mwizi ccm? mbona ecrow mmepiga na lowasa hajapata? ufisadi ni ufisadi tu haijalishi mshiriki ni lowasa au membe
 
Mengi ndiye anayeandika na kuhariri magazeti?

Wanaandika waliloagizwa na linalomfurahia Boss wao.Kama huvijui vyombo vya habri vya Tanzania hutaelewa hili.Vyombo vya habari Tanzania vinafanya kuendana na Boss anavyotaka.
 
Reginald Mengi unatumia vibaya vyombo vyako kumpamba fisadi Lowasa. Huu nao ni mkakati wa kuhakikisha kuwa Fisadi anaenda magogoni

Huyu akishuka haachi kitu..
 
Attachments

  • 1436261194990.jpg
    1436261194990.jpg
    18.9 KB · Views: 350
Baada ya kutambua utamu wa rushwa siku hizi wanakaa meza moja na kutoa matamko. Wizi mbaya sana.
Mengi hataki kuachwa nyuma katika mtandao wa kina Rostam wa kufaidi rasilimali za nchi
 
Reginald Mengi unatumia vibaya vyombo vyako kumpamba fisadi Lowasa. Huu nao ni mkakati wa kuhakikisha kuwa Fisadi anaenda magogoni
Mkuu Lizaboni huogopi kusema ukweli unaouamini?
 
Sikumbuki kama niliwahi kutoa pesa yangu nikanunua gazeti la nipashe ama mtanzania, kwakweli sikumbuki na sijuhi ni kwanini.
 
Wanaposema Lowasa anakubalika na wananchi wengi wanakosea. Fedha ndizo zinazokubalika, asingetoa fedha nyingi kuliko watia nia wenzake asinhekuwa anaongelewa hivyo.
 
Kanyampsasira mkuu

Kama anaweza kumuita mzee wa umri wa babake.ngombe lazi
A babake awe ngombe na kama baba ngombe lazima atoe mpiga debe ...mwe....

Mshauri ajirekebishe kwanza usihofuyanaisha 12upendo wetu ukopalepale.
 
Wanaposema Lowasa anakubalika na wananchi wengi wanakosea. Fedha ndizo zinazokubalika, asingetoa fedha nyingi kuliko watia nia wenzake asinhekuwa anaongelewa hivyo.
Uwezi zuia mafuriko kwa.mkono dogo ..
 
Back
Top Bottom