Huku mtaani kwetu,mijitu mijinga jinga,mipoyo poyoyo...huwa tunawaitaga (mizembwela)
na mara ya mwisho kumsikiliza huyo poyoyo zembwela,ni kwenye ile mambo nyamongo tarime,zembwela linahoji eti"jamani bila aibu tumefika mahali tunagombania maiti??pasipo kuangalia nyuma na mbele"