semeni yote, zembwela na mpoki kifo na usikizi! Zembwela anaufaham na uelewa mkubwa sana wa mbambo,isitoshe anaonekana anasoma na kujifunza vitu mbalimbali,nilimsikiliza juzi kwenye kipindi cha mkasi mshikaji yupo nondo mbaya,tokanimekuwa nikiangalia kipindi hiki zembwela alikuwa juu kwa 100% ubora,uchambuzi na kujenga hoja.hakuna cha lage wala nani kijana yupo juu.sipati picha akipatamwanya wa kuingia katka siasa.refer mikasi by salama.