Renzel
New Member
- Jun 12, 2013
- 3
- 11
Hii haina kuficha, kwa huu wa sasa, Kipindi cha SuperMix, kikisimamiwa na Zembwela kimekuwa msaada mkubwa kwa Jamii, kutokana kile kinachowasilishwa. Nazidi kuamini akili hii ya Zembwela ingekuwepo kwenye moja ya viti katika Bunge la Katiba, kuna hatua tungepiga.
Piga kazi mkubwa, Umenifurahisha ulipoukataa usharobaro katika kazi. SuperMix kati ya vipindi bora vya asubuhi.
Piga kazi mkubwa, Umenifurahisha ulipoukataa usharobaro katika kazi. SuperMix kati ya vipindi bora vya asubuhi.