davidson689
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 646
- 158
Ni wajinga hawa bavicha wana lazimisha nchi nzima wawe UKAWA!Hihihihihi yaani sasa hivi toka wameanza hawa jamaa wa UKAWA kila kitakachosemwa kikiwa against them unaonekana huna akili mvuta bangi jamani ndugu zangu kwani hao wanaounda UKAWA wao ni MUNGU kwamba they are always right ifike wakati tuwekwe wazi is there any else behind this ambacho tutafaidika wote watanzania apart from what they are always talking. Mimi nasema kwenye maandamano ni haki yetu sote kikatiba katika kushinikiza maslahi ya wote lakini sio kila kitu cha UKAWA tulaimishane ni sahihi, maoni na maswali juu masuala ya UKAWA yatujengee uelewa na ujasiri na sio kulazimishana kuelewa ilhari kuna visiri.
Kwa hiyo wewe uliye kwenda shule kuwazidi Zembwela na Kibonde ndio hivyo ulivyo fundishwa kuandika?Nlishayaxema ya huyu zembwela na kibonge cjui kibonde. Nkaonekana na kashfu, tatizo shule hawajaenda. Utangazaji ni kipaji ila shule muhimu.
Ukawa,ukawa,ukawa. Wafuasi wako vichwa maji. Ukisifiwa na kichaa wao wamwona mwerevu,ukionywa au kupingwa na werevu basi wanaonekana idiot. Na mwaka huu andamaneni,Mtapigwa tu. Vyombo vya habari vimejishtukia kuona vinasapot ujinga.
Ndiyo uwezo wake kumlaumu ni kutomtendea haki yake
mbona waandishi wa habari wa tanzania daima hamuwasemi hivi wanapoaandika mambo ya kichadema?? tuu,na kwanini kila mtu nyie mumlazimishe kuamini ya kwenu hata kama sio sahihi??Nauwalakini na mitazamo yenu,nadhani mtakuwa na uwelewa mdogo katika siasa na demokrasia kwa ujumla