baharia Ar
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 837
- 316
Binafsi nilikua napenda sana kumsikiliza zembwela wa East Africa Radio na kuna watu walikua wananicheka sanaa,ila leo katika kipindi chake cha saa tatu mpaka 7 nimeshaangaa ujinga alionao katika kichwa chake na kamfundisha na huyo dada anayekuaga nae yaani mjinga ni mjinga tu, zembwela huwezi iokoa CCM kwa hilo na utajikosea heshima na Radio yako itakosa mashabiki kama zilivyokuwa nyingine.
SMS za maana huzisomi unatunga zako tu unajipendekeza unadhani utapewa ubunge.
Eti UKAWA waandamane wenyewe wewe unaogopa mabomu so nani kakwambia mapigano yakianza yatachagua huyu ni zembwela tusimshambulie. Zembwela shtuka usitumike sanaa eti una chama kweliii!
Sasa upinzani usipo kuwepo unaona itakuwa poa?
Ndugu ninahasira leo umeniudhi sana weka wazi kuwa wewe ni CCM full stop.