...yes anaweza kufanya hayo lakini asipotoshe jamii kwa uelewa wake mdogo ktk jambo husika,na huu ndo ugomvi wangu na zembwe...
...yes anaweza kufanya hayo lakini asipotoshe jamii kwa uelewa wake mdogo ktk jambo husika,na huu ndo ugomvi wangu na zembwe...
madiwani lazima waulizwe kwa mfano nipo hapa mbezi beach lakini upande wa juu maeneo kama unakuja five star hall ni diwani wa chadema hakuna maendelo kwake miundo mbinu yake ni mibovu. upande wa chini ni diwani wa ccm kuna miundo mbinu mizuri sana,madiwani wengi wa chadema na wabunge wao hawajafanya kitu kabisa tangu wawe madarakani
Mleta mada atakuwa ni moja ya madiwani walioshindwa kuwaletea maendeleo wananchi.
unaizungumziaje huu mfano wa maranguoriginal? Je! Wananchi wa upande wa pili wasihoji kwa diwani wao?
asante sana. Kwa upeo wako mkubwa, nini dhumuni la kuwa na diwani au mbunge? Kazi zao katika jamii ni nini?
...kwa kifupi ni sauti ya wananchi wa jimbo na kutunga sheria. Lakini msingi wa madi yangu ni je ni sahihi kwa mbunge/diwani kubeba lawama kwa kila jambo ambalo halijatimia kama alivyoahidi...?
Usijifanye Huelewi? Kaandika Hivo Makusudi Na Nafahamu Hata Wewe Ushaelewa Labda Kama Kichwa Chako Kimejaa Makamasi Tu
Tunaomba CV yake asijekuwa kanjanja
Kwa hiyo Zembwela ni kijana wa CHADEMA?Vijana wote ambao wako chadema, ndio uwezo wao wa kufikiri unapoishia. Tusishangae sana...
Acha kupanic huo Mfano nimeutoa kuoonesha kuwa Zembwela yuko sawa na Kazi ya mbunge ni kuhishinikiza serikali kuahakikisha maendeleo yana patikana na hakishindwa yeye ndiye wa kwanza kupewa lawama!
Mnyika Swala la maji limemshinda na bahati mbaya hawezi kurudi bungeni Tena!

inaweza ikawa ndiyo. Kama kuna tatizo ambalo linatakiwa kufanyia kazi kwa uharaka na mbunge amekaa kimya kwa nini asilalamikiwe? Na je hiyo uliyoiita sauti ya wananchi imesimama badala ya nini?
Wewe ni wakuonea huruma yani mtu kasema ukweli mnatokwa na povu!