Kuna post ilipitaga umu ya interview yake na salama {mkasi} jaman mli msifu sana zembwela ni good arts sasa leo hi zembwela kawa mburura dah umu duniani bana kweli alicho kisemaga mpoki ukiona usemwii jua huja fanya kitu chochote cha maana dah. Mmmh. Zembwela apunguze kuropoka. Tu ndo atakuwa sawia.
Namzungumzia mtangazaji wa kipindi cha supermix kinachorushwa hewani na EARadio.Nimekuwa msikilizaji wa kipindi hiki kwa muda mrefu toka kilipokuwa kinaendeshwa na Musa.Ninachokiona kwenye utangazaji wa Zembwela ni sawa sawa na ile style ya mtangazaji wa people station ambae haipiti mwezi watu humzodoa.Zembwela jirekebishe majibu ya mkato,kejeli na dharau siyo kabisa.Pia kujifanya kila kitu unajua wewe tu wengine mafisi pia sio.Muungwana ni vitendo badilika.
mbona jamaa mtu safi sana we utakua na matatizo yako binafsi.... Na istoshe anajua mambo meng sana kiasi ambacho we mwenye ungalikua katika kile kipindi usingalipenda kuona yakifanyika... So kavipi mkaushie mwana apige deal zake we deal na zako pia watoto wapate kula na kunya.
Namzungumzia mtangazaji wa kipindi cha supermix kinachorushwa hewani na EARadio.Nimekuwa msikilizaji wa kipindi hiki kwa muda mrefu toka kilipokuwa kinaendeshwa na Musa.Ninachokiona kwenye utangazaji wa Zembwela ni sawa sawa na ile style ya mtangazaji wa people station ambae haipiti mwezi watu humzodoa.Zembwela jirekebishe majibu ya mkato,kejeli na dharau siyo kabisa.Pia kujifanya kila kitu unajua wewe tu wengine mafisi pia sio.Muungwana ni vitendo badilika.
teh teh teh,,,kifupi huwezi pendwa na wote Mungu tu mwenyewe kina Kiranga hawamjui wala kutaka kumsikia japo itakua Binadam mwenzako? We kama humpendi unapita hiviiiii
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app