Zelensky ateua Mkuu wa Majeshi mwingine

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,306
35,852
BREAKING:

Oleksandr Sirsky, the Commander of Ukraine’s Land Forces and the person who was in charge of Kyiv’s defense in 2022, has been appointed new Commander-in-Chief of the Ukraine’s Armed Forces.

It's official: General Syrsky has been appointed the new commander-in-chief of the Armed Forces of Ukraine. Zaluzhny is out
IMG_20240208_231537.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Chanzo naskia Ni ile mobilization mpya aliyoitaka zelensky wakafanye offensive wakati silaha za kwendea Frontline Hana.

CDF kamwambia wazi zelensky haiwezekani nipeleke vijana wakasagwe

Ndo jamaa kakasirika
 
Chanzo naskia Ni ile mobilization mpya aliyoitaka zelensky wakafanye offensive wakati silaha za kwendea Frontline Hana.

CDF kamwambia wazi zelensky haiwezekani nipeleke vijana wakasagwe

Ndo jamaa kakasirika
Wangekua majasiri wangemng'oa Zelensky madarakani na kumtupa jela kwa kuiingiza Nchi vitani kwa matakwa ya mabeberu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Anaimarisha kikosi na kuleta mtu mpya na mbinu mpya aendelee kumchakaza Putin sasa miaka miwili imeisha putin Kyiv anaiona kama ukoma
Lengo lilikua kuikamata Kiev?
ama demilitarization?
Je jeshi la ukraine ni lilelile kama kabla ya vita ama tofauti?

Kama ni tofauti je

Je limeongezeka ama limepungua?

Kama limeongezeka limeongezekaje?

Na kama limepungua,limepua kwa sababu Gani?
Je Ukraine wanapigana kuilinda Kiev ama kuilinda Ukraine?
Kama ni Kiev sawa,lakini kama ni Ukraine je majimbo yaliyochukuliwa na Urusi sio sehemu ya Ukraine?
Je Ukraine hawana mpango nayo?
Watayarudisha ?
 
Back
Top Bottom