Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,771
Pole sana mkuu.Wacha tumalize kufanya usafi Gaza, nitakuja tuendelee kutembeza kichapo kwa Urusi....
Pole sana mkuu.Wacha tumalize kufanya usafi Gaza, nitakuja tuendelee kutembeza kichapo kwa Urusi....
USA kakaa afghanistan miaka 30 na bado akatoka na aibu.mwaka wa pili umeisha Ukrean tu imemtoa kamasi bwana putin tuliambiwa ni giant wa vita ulimwenguni
Kabisaaa tunaona majeshi yanavyopigwa ya Russia pale MoscowHii vita ilishamshinda Rusia,
Pole sana mkuu.
Some of us tulitegemea, Ukraine won't win the war. So delusionalBREAKING:
Oleksandr Sirsky, the Commander of Ukraine’s Land Forces and the person who was in charge of Kyiv’s defense in 2022, has been appointed new Commander-in-Chief of the Ukraine’s Armed Forces.
[emoji298]️[emoji1255]It's official: General Syrsky has been appointed the new commander-in-chief of the Armed Forces of Ukraine. Zaluzhny is out
View attachment 2898225
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Huyu ndo butcher mwenyewe na kazi yake kubwa itakuwa ni kama alozifanya kule Bakhmut.BREAKING:
Oleksandr Sirsky, the Commander of Ukraine’s Land Forces and the person who was in charge of Kyiv’s defense in 2022, has been appointed new Commander-in-Chief of the Ukraine’s Armed Forces.
[emoji298]️[emoji1255]It's official: General Syrsky has been appointed the new commander-in-chief of the Armed Forces of Ukraine. Zaluzhny is out
View attachment 2898225
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
mwaka wa pili umeisha Ukrean tu imemtoa kamasi bwana putin tuliambiwa ni giant wa vita ulimw
Russia hapigan na Ukrain tuu anapigana na NATO katika ardhi ya Ukrainmwaka wa pili umeisha Ukrean tu imemtoa kamasi bwana putin tuliambiwa ni giant wa vita ulimwenguni
Sijawahi sikia toka vita ianze majeshi ya NATO yanapigana na urusi kwenye ardhi ya UkreanRussia hapigan na Ukrain tuu anapigana na NATO katika ardhi ya Ukrain
Afghanistan US walipiga kambi kwa ajili ya osama bin laden walipokwisha fanikiwa sasa wapo kimabavu tu hawana chochote tena watakacho kama vile Iraq baada ya Sadam, wapo wapo tuu kihuniUSA kakaa afghanistan miaka 30 na bado akatoka na aibu.
Kazi gani hiyo mkuu..?Huyu ndo butcher mwenyewe na kazi yake kubwa itakuwa ni kama alozifanya kule Bakhmut.
Na kule vietnam walipiga kambi kwa ajili ya nani?Afghanistan US walipiga kambi kwa ajili ya osama bin laden walipokwisha fanikiwa sasa wapo kimabavu tu hawana chochote tena watakacho kama vile Iraq baada ya Sadam, wapo wapo tuu kihuni
Mrusi yuko gaza kumbe? Yani anampelekea moto Biden kule Ukraine na Gaza kwa mda mmoja? Kweli Urusi ni kidume!Yaani mnaliwa pale Gaza mpaka napata ukakasi....
Mrusi yuko gaza kumbe? Yani anampelekea moto Biden kule Ukraine na Gaza kwa mda mmoja? Kweli Urusi ni kidume!
Vietnam waliomba poo wenyewe kwa sababu ya maslahi yao ya kiuchumiNa kule vietnam walipiga kambi kwa ajili ya nani?
Huyo huagiza watu kusombwa mitaani khasa wale homeless ambao hulala au huzurura mitaani ndio waende vitani kuuawa.Kazi gani hiyo mkuu..?