Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,297
- 28,569
Tulikua tunaaminishwa Russia ndo nchi yenye air defense bora kabisa duniani lakini hii vita imetuonyesha hali tofauti,kwenye air defense nako ni dhofuli Hali. Kwasasa nchi yenye air defense bora kabisa ni Israel tu.
Hiyo Kherson ni hatari hapafai kuishi kiumbe chochote mana hiyo ardhi imesukwa vyuma vizito vyenye milipuko ya ajabu, mrusi hakimbii ila anaondoka tu,hapo ni jehanam.Hiyo Kherson ni hatari hapafai kuishi kiumbe chochote mana hiyo ardhi imesukwa vyuma vizito vyenye milipuko ya ajabu, mrusi hakimbii ila anaondoka tu, hapo ni jehanam.
ZA ISRAEL ZIMETUMIKA WAPI MZEE.Tulikua tunaaminishwa Russia ndo nchi yenye air defense bora kabisa duniani lakini hii vita imetuonyesha hali tofauti,kwenye air defense nako ni dhofuli Hali. Kwasasa nchi yenye air defense bora kabisa ni Israel tu.
Acha umbea,hujamwonauzi kama huu huwezi kumuona bwana Bukyanagandi mzee wa insha/migazeti ya kuipamba supapawa wa mchongo
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
HUYO SAIZI ZAKE WAGAMBOHata huu ni uongo. Hakuna siku NATO na US imefanya counterofffensive kwa Israel. Hii ni hadaa. Siku zote Israel anapata support ya US na NATO. Haina huo ubavu
Mshamba sana yule pimbi na vipaza wenzake kule , wananijua , niliwapa za uso malaya wale mpaka wakamwambia mod anipige ban kwenye ule uzi mazima .hua sisomi yale mautumbo yake maana hua ni fix za kuwahaada wapuuzi wenzie wanao muunga mkono
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Anaishia kuvyonza tu!!Putin akiona picha ya Zelensky anapata wenge[emoji3]