singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Huyu ofisa habari anaitwa Idrissa Jecha. najaribu kufikiria Hii zec ni saccoss ya familia ya Bwana Jecha?
Wajitahidi kupanga tarehe ya karibu kurejea uchaguzi ili serikali mpya iingie madarakani.
Vurugu na uchochezi viko vichwani mwa wabara, huku visiwani uchaguzi unasubiriwa kwa hamu kubwa. Tumechoka na vurugu na uchochezi wenu. Ninyi mnatuchochea sisi, mbona huko bara mmesalimau amri bila hata ya maandamano!? Wacheni habari zenu hizo!wapange tarehe ya uchaguzi? au wapange tarehe ya kuanza kwa vurugu na ukosefu wa amani?
hivi unadhani nani atakubali matokeo, ili hali huu uchaguzi kabla hata haujafanyika ulikwisha kuwa na kasoro
Vurugu na uchochezi viko vichwani mwa wabara, huku visiwani uchaguzi unasubiriwa kwa hamu kubwa. Tumechoka na vurugu na uchochezi wenu. Ninyi mnatuchochea sisi, mbona huko bara mmesalimau amri bila hata ya maandamano!? Wacheni habari zenu hizo!
Naam, mie mzanzibari haswaaWw nyenyere kwan ww ni mzanzibar?
Tuko pamoja, sote twataka hiyo amani. Vurugu kwa faida ya nani?Nyenyere unataka kuolewa? Si sheni kashajitangaza urais uchaguzi wa nn kwenda kupigwa bure na mazombi mwecheni awe rais wa maisha muhim amani tu nchi za kiafrica hakuna democrasi ni uroho wa madaraka tu kashindwa mchana kweupe Leo anasema Mimi rais sasa baba hatutaki vurugu tunataka amani na wale machotara hamutakiwi Canada njia nyeupe
Tuko pamoja, sote twataka hiyo amani. Vurugu kwa faida ya nani?
Definition ya UKAWA. Aina hiyo ya amani hata marekani haipo. Labda jaribuni mbinguniAmani unayoiongea wala hauijui /hauifahamu.
Kwa kifupi amani ni Matokeo ya haki kutendeka na kuonekana haki hiyo imetendeka.
Kichume chake ni Uoga na Unafiki.
Definition ya UKAWA. Aina hiyo ya amani hata marekani haipo. Labda jaribuni mbinguni
Mshindi atangazwe
Mkiitwa waarabu mnalalamika kubaguliwa, unafanya nini hapa wewekwa akili yako naanza kuamini maneno ya kaburu P,W BOTHA.
Hatuna wazanzibar wenye akili kama yako. wewe utakuwa mnyamwezi unaedandia dandia tu ya wazanzibar Pandu wewe
Moto ukiwaka na tanganyika jamtobaki salama.Znz haipo mbali kugeuka na kuwa kama syria