Ze Comedy na Spika Makinda !

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
Kama ni message basi imefika,ze comedy wanamuigiza spika yuko gym akifanya mazoezi ya ngumi akijiàndaa kwa ugomvi ndani ya mjengo kama ikitokea kama alivyopendekeza jana mbunge mmoja CCM jana (FUNGENI MLANGO TUZIPIGE)
 
Sijui kama mama huyo ana uwezo wa kujifunza na kujirekebisha maana uwezo wake ni mdogo sana katika kuhimili vishindo vya wabunge wenye upeo mkubwa wa sheria na kanuni za bunge. Tatizo CCM hupenda kuweka watu wasioweza kutekeleza kanuni maana mtu yeyote anayefuata kanuni ni mwiba mkali kwao kwa kuwa wengi wao hawafuati taratibu. Kilichobaki kwa sasa ni kushuhudia Spika huyo akicharazwa bakora na wabunge wenye hasira.
 
ni kitu cha ajabu sana kama mbunge wa chama tawala anasema fungeni milango tuzipige sijui watu wakiamua kuzipiga patakalika kweli?
 
...................Unajua nilikuwa nimeanza kuwapotezea Komedi lakini leo nimecheka kichizi...................mama Anne kazi anayo...
 
Wabunge wengi wakati wa kampeni walikuwa wanaomba kula, wamepewa na wanachi, Unategemea nini? Wengi hawana moyo wa kutumikia wananchi zaidi ya kuwa washabiki tena pengine kwenye mambo ambayo hawayaelewi. Mfano wabunge wanomba uwakilisi wa SDAC wakati hwajui kabisa kiingereza. Tena bila aibu anasimama mbele kujichafua kwa dunia nzima. Duuhhhhh. Ningekuwa mimi, pale waliposema kiinglish, ningeachana na mpango wa kujinadi kabisa kwani ingetuza heshima kwa kiasi fulani.
 
. Wabunge mwaka huu bomu tu mademu ni fashion show tu na kungoja posho. Siasa za bongo kubebana tu fu..
 
. Wabunge mwaka huu bomu tu mademu ni fashion show tu na kungoja posho. Siasa za bongo kubebana tu fu..

Waliobebwa watakuwa ni wachache sana yaani wa viti maalumu, wengi tumewaweka madarakani sisi wenyewe aidha kwa kuwapigia kura au kwa kutotimiza wajibu wetu wa kupiga kura na hivyo kutoa mwanya wa raia mwema kushiriki kumchagua kiongozi mbovu. Hivi sasa tuweke rekodi yao, na wakati muafaka ukifika tuwanyongee kwenye boksi la kura.
 
nami nimebahatika kukiona,kimenivutia sana. Huko tunakokwenda na huyu mama sijui ila tusije shangaa akatoa machozi siku moja kibano kitakapo mzidi kimo.
 
Kama ni message basi imefika,ze comedy wanamuigiza spika yuko gym akifanya mazoezi ya ngumi akijiàndaa kwa ugomvi ndani ya mjengo kama ikitokea kama alivyopendekeza jana mbunge mmoja CCM jana (FUNGENI MLANGO TUZIPIGE)
Bandikeni hapa live tuone!!
 
Endeleeni kuwakubali kama mivyoanza leo sio wiki ijayo wakimuigiza mwanaCHADEMA mnaruka na kuanza kuwaponda ZE COMEDY.

Lets accept checks and balances.
 
Ama kweli mama huyu ana kazi! tatizo kubwa ni wabunge wetu wa chama kile ambacho kujenga hoja na kusimama nayo imekuwa shida.Na hii inatokana na historia ya kubebwa na dola kwa miaka mingi! harakahara anaitwa askari eti amtoe nje mbunge!
 
Back
Top Bottom