Nimeangalia ze comedy Tbc 1 sijaipenda hii kwenda pale uwanja wa wa uhuru na kuanza kuigiza hukuwa wahanga wa tukio hilo wakiwa na majönzi na simanzi nimechefuka na hii
Kwani watu wakiwa kwenye majonzi ndo hakuna hata muda wa kujiliwaza? Ni namnatu badala ya ya kuwafariji kulia au kuhuzunika nao angalau unawapa muda hata wa kutabasamu na kucheka. kumbuka kicheko ni tiba bora ya kutibu mawazo na majonzi.
tunapoteza mwelekeo kabisa, comedy ya nini na wakati watu tunaomboleza na msiba mkubwa kiasi hiki, uliosababishwa na uzembe...dont we have values as Africans, na hata kuweka days for grieving etc....
Kwani watu wakiwa kwenye majonzi ndo hakuna hata muda wa kujiliwaza? Ni namnatu badala ya ya kuwafariji kulia au kuhuzunika nao angalau unawapa muda hata wa kutabasamu na kucheka. kumbuka kicheko ni tiba bora ya kutibu mawazo na majonzi.
Hata mkulu alipotembelea majeruhi hospitalini alikuwa anacheka wakati anapewa maelekezo na madaktari.
Sasa sijui kilichokuwa kinamchekesha katikati ya majonzi.
No wonder hawa comedian.....
.
Nimeangalia ze comedy Tbc 1 sijaipenda hii kwenda pale uwanja wa wa uhuru na kuanza kuigiza hukuwa wahanga wa tukio hilo wakiwa na majönzi na simanzi nimechefuka na hii
Hee wewe bado unaangalia the original comedy? basi hata wewe unamatatizo flani flani.
Wenzio tbc 1 tuliacha kuitizama siku nyiiiingi sana. Yaani hapo tbc kuanzia uongozi hadi hao comedy
wote ni chenga tupu