Ze Comedi ya Udhihaki Uislamu!!

Status
Not open for further replies.
Nahisi ni miongoni mwa watu wenye matatizo tulionao dunia hii!!! unamaanisha nini kwenye hiyo kauli yako?! usiongee vitu usivyovijua na kama huna cha kuandika u better shut up!!

Nawe umeanza, mbona huo ni utani wa siku zote, kwa sababu maulid lazima mpunga upikwe. Utani tu. Hukumbuki kuwa watu wanaenda na ndizi kwenye kanzu za kulia wali!!!!! baada ya maulid
 
Yan wameonyesha jinsi muislamu anavyoshawishika kupiga misosi kipindi hiki cha mfungo!
Ustadhi maarufu alikuwa ni joti na wakristo ni mpoki na vengu!!
Ahaaaa jamani hii nayo ni udini kabisaa kuliko wa JK!!!

Uko too senstive sana mkuu
 
Hakuna kudhihaki walanini,ile ni kupeleka ujumbe kwa jamii,na mambo wanayoonyesha yapo ktk jamii,
 
HAO TZE COMEDY WAMEKASHIFU UISLAMU,FUNGA YA RAMADHANI KWETU NI MOJA YA IBADA ZETU TUKUFU TULIZOFUNDISHWA NA MWENYEZIMUNGU WETU TUNAEMUAMINI NA MTUME WETU MUHAMMAD(SAW),HIVYO KITABU CHETU QURAN KIMEKATAZA KUFANYIA UTANI MAFUNDISHO YOYOTE YA DINI TULIYOFELEKEZWA NA MUNGU WETU NA MTUME WETU
Allahsays:“…When you hear the Signs of God being denied and mocked at, sit not with those (who indulge in such talk) until they engage in some other talk; for in that case you would be like them…”(4:141)
KWA HIYO KAMA MUISLAMU MWENYE IMANI YA KWELI ALITAKIWA AZIME TELEVISION YAKE,MPAKA HAO ZE COMEDY WAMALIZE UPUUZI WAO NDIO UENDELEE KUANGALIA TELEVISION YAKO​
 
Ujumbe waliuleta upo sahihi. Jamaa hajala msosi na kshinda vishawishi na kawapa kubwa wale kobelamchana. Sasa wapi uislam ulipodhihakiwa??
 
Guys lets be optimistic about this, wale ni wachekeshaji jama, na wanaeleza hali halisi katika hali ya kuchekesha.

Udini unao mwenyewe kwenye mawazo. Mara ngapi wanaongelea jamii mbalimbali wakiwemo dini na madhehebu mbalimbali na rika mbalimbali?

Think Big Mkuu!
 
SISI WAISLAMU HATURUHUSIWI KUIGIZA IBADA ZA WATU WENGINE,
"
"And abuse not those whom they call upon beside Allah, lest they, out of spite, abuse Allah in their ignorance." (Al Quran6:109)​
BAS NAO WALITAKIWA WAHESHIMU IBADA ZETU TUKUFU,,
DINI YETU SIO YA KUTUMIKA KUCHEKESHEA WATU,KAMA WALIKUWA HAWAJUI BASI MWENYEZIMUNGU ATAWASAMEHE LAKINI KAMA WANAFANYA MAKUSUDI BASI WAMEKOSEA,NI MOJA YA MADHAMBI MAKUBWA KWETU SISI WAISLAMU
"Verily, those who malign Allah and His Messenger – Allah has cursed them in this world and in the Hereafter, and has prepared for them an abasing punishment. "(33:58)​
 
Mbona walikuwa wanausifu uislamu wa kweli kwa sababu joti chaku la hakuia.am a christian btw
 
Yan wameonyesha jinsi muislamu anavyoshawishika kupiga misosi kipindi hiki cha mfungo!<br />
Ustadhi maarufu alikuwa ni joti na wakristo ni mpoki na vengu!!<br />
Ahaaaa jamani hii nayo ni udini kabisaa kuliko wa JK!!!
<br />
<br />
wale wanazungumzaga ukweli ila sisi tunafikiri ni vichekesho tu! Ile ni fasihi, na ni lazima ihusu jamii..unataka kuniambia hamna watu wa namna hiyo? Acha udini!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom