Ze Comedi ya Udhihaki Uislamu!!

Status
Not open for further replies.

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Yan wameonyesha jinsi muislamu anavyoshawishika kupiga misosi kipindi hiki cha mfungo!
Ustadhi maarufu alikuwa ni joti na wakristo ni mpoki na vengu!!
Ahaaaa jamani hii nayo ni udini kabisaa kuliko wa JK!!!
 
Mmeanza, kila kitu mnalalamika. Maulidi isiyo na wali/pilau Mtume huwa haudhulii. Kwa hiyo kuna namna ya ulaji ili uweze kupata dhawabu. Kuna taratibu zake, sio kula tu kama wakristo ingawa nao lazima wapige ishara ya msalaba/wasali though there are no stringent rules kama nyinyi wenzetu. Hivyo mtu akiongelea namna ya kula kwa waislamu nadhani uko sahihi. Hawa ni wasanii, wameelezea kisanii. Msichukie mambo madogo
 
tuangalie vitu vya kulaumu jamani. hawa mabwana ni wachekeshaji, wanaigiza kila kitu. tusiwe na tabia ya kukuza mambo ni hatari sana.
 
yan wameonyesha jinsi muislamu anavyoshawishika kupiga misosi kipindi hiki cha mfungo!
Ustadhi maarufu alikuwa ni joti na wakristo ni mpoki na vengu!!
Ahaaaa jamani hii nayo ni udini kabisaa kuliko wa jk!!!
mkuu hao wasanii tu,nakumbuka hapo wapo kazini na hayo ni mawazo yao ambayo wameona wakiyatoa hewani watu watafurahi,hivyo tuendelee kufurahi una aja ya kuamsha chuki na naimani hilo sio lengo lako kiongozi. Heshima
don
 
Mbona nilishawaona pia wakiwaigiza Wachungaji wa makanisa mbalimbali!!? We hujaona hili? Japo mi ni muislam kwa hili naomba nitofautiane nawe na wengine wote wenye mtazamo kama wako.
Wabillahi taufiq!
 
It is nice kuwa waislamu mmeona ni maigizo tu wala hakuna kudhihaki dini. Tena wanauigiza ukristo mara nyingi tu, lakini we take it simple kuwa wanachekesha tu hawana nia mbaya
 
Hivi jamani nyie mnaumeme huko?manake huku kwetu tokea asubuhi saa 12 walivyokata haukurudi!naona sasa mgao umeshika hatamu barabara
 
Yan wameonyesha jinsi muislamu anavyoshawishika kupiga misosi kipindi hiki cha mfungo! Ustadhi maarufu alikuwa ni joti na wakristo ni mpoki na vengu!! Ahaaaa jamani hii nayo ni udini kabisaa kuliko wa JK!!!
nazan wewe ndo mwenye matatizo-mbona ni kitu kidogo sana hicho-ukisema ufatilie kila kitu hapa duniani-hutaweza kuishi-mbona wanaigiza kama wachungaji n.k lakini hakuna malalamiko-si kila kitu unaleta hapa
 
Yan wameonyesha jinsi muislamu anavyoshawishika kupiga misosi kipindi hiki cha mfungo!
Ustadhi maarufu alikuwa ni joti na wakristo ni mpoki na vengu!!
Ahaaaa jamani hii nayo ni udini kabisaa kuliko wa JK!!!

They are like that. They eat until 4.00AM in the morning. Shame and sad.
 
nazan wewe ndo mwenye matatizo-mbona ni kitu kidogo sana hicho-ukisema ufatilie kila kitu hapa duniani-hutaweza kuishi-mbona wanaigiza kama wachungaji n.k lakini hakuna malalamiko-si kila kitu unaleta hapa
<br />
<br />
Imani yangu ni kali!!
 
Yan wameonyesha jinsi muislamu anavyoshawishika kupiga misosi kipindi hiki cha mfungo!
Ustadhi maarufu alikuwa ni joti na wakristo ni mpoki na vengu!!
Ahaaaa jamani hii nayo ni udini kabisaa kuliko wa JK!!!

Haaaa haaa! Inanikumbusha jinsi Wazenj walivyokomaa na Zecomedy mpaka waliposababisha hao vijana waache kutamka "tunabonyeza Kizenj!"
 
Mmeanza, kila kitu mnalalamika. Maulidi isiyo na wali/pilau Mtume huwa haudhulii. Kwa hiyo kuna namna ya ulaji ili uweze kupata dhawabu. Kuna taratibu zake, sio kula tu kama wakristo ingawa nao lazima wapige ishara ya msalaba/wasali though there are no stringent rules kama nyinyi wenzetu. Hivyo mtu akiongelea namna ya kula kwa waislamu nadhani uko sahihi. Hawa ni wasanii, wameelezea kisanii. Msichukie mambo madogo

Nahisi ni miongoni mwa watu wenye matatizo tulionao dunia hii!!! unamaanisha nini kwenye hiyo kauli yako?! usiongee vitu usivyovijua na kama huna cha kuandika u better shut up!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom