Zconnect tafadhali msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zconnect tafadhali msaada

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by KyelaBoy, Sep 27, 2010.

 1. K

  KyelaBoy JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2010
  Joined: Nov 9, 2008
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Msaada tutani tafadhali,kwa muda nimekuwa nikitumia Zantel kwenye Laptop yangu kwa ajili ya huduma ya intanet na nimekuwa nikweka viwango mbalimbali kama vya siku Tsh 6000 na kwa mwezi Tsh 10,000 na nilikuwa natumia simu yangu iliyo kwenye mtandao wa Zain kuweka salio la kutumia kwa kutuma msg kwenye plan nayotaka kutumia ,lakini kuanzia hivi karibuni walipobadili kwa kutumia viwango vipya ZCONNECT kwangu imekuwa tatizo nikituma naapata jibu kuwa nimekosea plan na wanatuma ujumbe jinsi ya kutuma hilo salio lakini kila nikituma jibu ni lilelile nimeenda Zantel office pale drve inn nikaambiwa huenda mimi nakosea nikawaelelezea hilo tatizo mhudumu mmoja akasema nimpe nnumber ya modem yangu halafu yeye akaniingizia na akanipa kipeperushi chenye maelezo ya jinsi ya kuweka salio,nimejaribu kuweka tena salio kwa kufuata hiyo njia kwa wale tusiotumie simu za mtandao wa zantel matokeo ni yaleyale ,tafadhali kwa mnaoelewa naomba mnipe mwanga nimeweka Tsh 10000 kwa ajili ya 250 mb ya mwezi mmoja .
   
Loading...