Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
Hii ni historia fupi ya ujasusi wa Kiyahudi toka nyakati za kale hadi mauaji ya Mtume wa Uislamu
Wayahudi, kama taifa lililopitia mateso na vita kwa karne nyingi, wamejijengea hifadhi kupitia sanaa ya kujipenyeza, kutumia akili kuliko nguvu, na kutegemea maarifa ya kivuli kuliko mapanga ya wazi. Tangu enzi za kale, walitumia ujasusi kama silaha ya kujilinda au kulipiza, na hilo linaonekana dhahiri katika maandiko ya kale. Daudi, mfalme wa Israeli, alipokuwa akiwakimbia maadui zake, alijipenyeza kwa ujanja kwa Wafilisti, akajifanya mkimbizi, lakini aliendelea kufanya mashambulizi ya siri kwa niaba ya Israeli (1 Samweli 27). Alikuwa mpiganaji, lakini pia jasusi mwenye akili ya kisiasa.
Mbinu hizo hazikukoma. Katika karne za hivi karibuni, Israel imeendeleza sanaa ya ujasusi kupitia Mossad, shirika ambalo limefanikiwa kufanya kile hata mataifa makubwa kama Marekani hushindwa. Katika Iran, walipenyeza ndani ya taasisi nyeti, wakajua ramani za kiwanda cha nyuklia, wakawaua wanasayansi wa ndani, wakapora mafaili ya siri, na kumwua kamanda Qassem Soleimani kwa drone. Hakika, huu ni muendelezo wa sanaa ya kivuli ambayo Wayahudi wameihifadhi kwa karne nyingi.
Viongozi wa Hamas, Hezbollah na wanamgambo wengine wameuawa kwa njia za kushangaza kwa sumu, risasi zisizoonekana, mashambulizi ya kimya kimya ambayo hata vyombo vya ulinzi vya hali ya juu hushindwa kuzuia. Operesheni za Israel zimekuwa na mafanikio ya ajabu kwa sababu ya uwezo wao wa kutumia watu wa kawaida, wa karibu, au wanawake kama silaha zisizotiliwa shaka.
Katika muktadha huo, tukio la Zaynab bint al-Harith linachukua nafasi ya kipekee. Mwanamke huyu wa Kiyahudi kutoka Khaybar alikuwa mjane wa mwanajeshi aliyeuawa na Waislamu. Baada ya kabila lake kushindwa, alipewa nafasi ya kupika chakula kwa Mtume Muhammad ﷺ. Hapa ndipo historia ilipoandikwa kwa ustadi wa kimyakimya.
Muhammad alikuwa mtu wa kawaida kwa mambo mengi, lakini alikuwa mtu wa totozi sana ,alipenda sana wanawake. Alioa wake wengi, na riwaya nyingi za Kiislamu zinaonyesha kuwa alipendelea sana wanawake warembo, vijana, na pia alijivunia kupenda wanawake.
Mapenzi haya ya dhati kwa wanawake na kupenda penda totozi, yalimweka katika mazingira yakuuliwa na Zaynab ambaye alitumia hulka hiyo ya asili ya Mtume ya kupenda penda wanawake, ovyo, kumlisha sumu.
Alipika kondoo, akahakikisha sehemu ya bega (sehemu aliyojua Mtume anaipenda zaidi) imewekwa sumu ya polepole. Mtume alipoanza kula, alitafuna na kusema
“Nyama hii inanieleza kuwa ina sumu.” Ilikuwa tayari ameimeza. Bishr ibn al-Bara’, sahaba aliyekula naye, alikufa papo hapo. Muhammad alinusurika kwa muda lakini alianza kuhisi maumivu ya ndani yaliyodumu hadi kifo chake.
Katika siku za mwisho za maisha yake, alisema wazi: “Ninahisi maumivu kutoka kwa chakula nilichokula Khaybar na sasa kinakata aorta yangu.” Hii ni kauli inayodhihirisha kuwa sumu hiyo ilifanya kazi kwa polepole lakini kwa uhakika.
Zaynab alipoulizwa kwa nini alifanya hivyo, alijibu kwa sauti ya kijasusi: “Nilitaka kuona kama ni kweli wewe ni Nabii; kama ni kweli, utaokolewa. Kama siyo, utakufa.”
Hakutumia panga. Hakupiga kelele. Alitumia zawadi chakula kilichopikwa kwa mikono ya mjane. Na kama ilivyo kwa mashambulizi ya Mossad leo, sumu yake haikuua mara moja — bali ilitenda kazi kimyakimya.
Kifo cha Muhammad si cha kawaida. Alifariki si kwa mapanga ya vita wala kwa mishale ya adui, bali kwa mikono ya mwanamke wa kawaida, aliyeficha kisasi katika upishi wake. Na alinaswa katika mazingira ya amani, ndani ya dhana ya ukarimu wa kijamii, chini ya kivuli cha mapenzi kwa wanawake.
Ujasusi wa Wayahudi haukuwa wa bunduki tu bali wa akili, upole, kujipenyeza na sumu. Kama walivyommaliza Soleimani kwa drone, walimmaliza Muhammad kwa nyama yenye sumu. Na historia ikajifunza kwamba silaha hatari zaidi, si upanga mkali bali tabasamu lililojaa hila.
Kuna vitu vya kujifunza ,tuache kupenda penda ovyo wanawake