Ni taa ya ajabu Lizzy!!:eyebrows:Unamaanisha nini kusema unazungusha tu?
Ina maana inajicharge yenyewe?How?
Ni taa ya ajabu Lizzy!!:eyebrows:
Unamaanisha nini kusema unazungusha tu?
Ina maana inajicharge yenyewe?How?
Ina maana hujui maana ya kuzungusha Lizzy??
Acha utoto bana, we ntafute nikuzungushie uone kama haitakaa na chaji kwa lisaa lizima
Lol..umenifurahisa sana Lizzy..naona jamaa kaja kichwa kichwa na wewe ukamrudisha hivyo hivyo!!Huhhhh??
Nadhani tuko kwenye kurasa tofauti...hicho unachotaka kuzungusha wewe sikihitaji. Ila kama unaweza sana omba kazi Twanga pepeta.
Lol..umenifurahisa sana Lizzy..naona jamaa kaja kichwa kichwa na wewe ukamrudisha hivyo hivyo!!
Unamaanisha nini kusema unazungusha tu?
Ina maana inajicharge yenyewe?How?
Lizzy,
Hii taa inatumia technology ya dynamo. So una guarantee ya kukaa nayo kwa muda mrefu sana ukilinganisha na taa zingine. Na pia bila gharama kabisa... Labda niseme gharama yake ni shibe tu ambayo bila shaka itapatikana baada ya kusevu pesa mingi tu kutokana na matumizi ya mafuta ya taa, chemli, tambi n.k
Natumai nimekujibu vyema swali lako..