Zawadi ya tatu

Zawadi ya tatu

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,260
Miaka ya 90 shule za bweni hasa Moshi zilikuwa na wanafunzi wababe sana. Pale kili boyz mwalimu mmoja wa nidhamu alifanikisha dent 1 kutimuliwa. Dent alimtafuta ticha na kumwambia, "nimefukuzwa kwa ajili yako. Sasa nitakuletea zawadi tatu. Ya 1 kibaba cha mahindi. Ya 2 kibaba cha maharage. Ya 3 ni kifo!" akaondoka akimwacha ticha kaduwaa. Baada ya wk akamletea mahindi. Akamlazimisha kupokea. Baada ya siku 4 akamletea maharage. Ticha alipomuona na zawadi ya 2 akijua ya tatu balaa akazirai palepale. Dent alimwekea pembeni na kuondoka. Sikuwa na ujasiri wa kufuatilia zawadi ya tatu
 
Zawadi ya 3 lazima dume zima lilijazwa mbegu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom